Mliooa wanawake walokole piteni hapa tupeane uzoefu

Mliooa wanawake walokole piteni hapa tupeane uzoefu

Aisee wanawake walokole ni wazuri sana maana wengi walisha fanya dhambi sana ndio mana wakaokoka .. wanaanza maisha upya..
yaani wakitulia na msela wanatulia haswa maana wamesha pitia mapigo yote..
ttz la walokole wengi ni wachakavu huwezi kuta ngoma mbichi lazima kilometa ziwe zimesoma mzee
Dddddddddd taratibu sio kwa nyongo hiyo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kidogo Mkikosana Hawachelewi Kusema Yesu Kristu ndio Bwana wake, Na Wanaume Ndipo tunapopanic..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom