Mliooa wanawake walokole piteni hapa tupeane uzoefu

Ukichepuka anakuombea tu. ila kuna hawa Manabii uchwara nasikia wanataka sana,akimwambia roho mtakatifu kasema unipe aaah haina shida kiiulainii!
Aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukibahatika kumpata aliyeookoka kwanza huwa ni wanyenyekevu, wapole, wavumilivu, kwao hawaamini katika kuachana, taa yao haizimiki usiku hapa kuwa kwakua mwili huwa wameufunga wakiufungua ni shida utapata vitu wewe mpaka usahau kwenu hata kama sio bikra utaikuta ni mnato balaa maana anasiku nyingi akiufunga mwili. Kuhusu roho mbaya hili halipo japo huwa si watu wa kujichanganya kwenye vikundi vya umbeya mtaani hutomkuta katu ni mtu ndani tu hivyo hili huwafanya wengi kuwasema sana hasa jinsia kike. Kingine kama unadungu waendeo bila ya utaratibu huwaambia ukweli ili wabadilike huwa hawakai na la moyoni katu hayo ni machache tu.

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE yupo tofauti na yote ul
Ukibahatika kumpata aliyeookoka kwanza huwa ni wanyenyekevu, wapole, wavumilivu, kwao hawaamini katika kuachana, taa yao haizimiki usiku hapa kuwa kwakua mwili huwa wameufunga wakiufungua ni shida utapata vitu wewe mpaka usahau kwenu hata kama sio bikra utaikuta ni mnato balaa maana anasiku nyingi akiufunga mwili. Kuhusu roho mbaya hili halipo japo huwa si watu wa kujichanganya kwenye vikundi vya umbeya mtaani hutomkuta katu ni mtu ndani tu hivyo hili huwafanya wengi kuwasema sana hasa jinsia kike. Kingine kama unadungu waendeo bila ya utaratibu huwaambia ukweli ili wabadilike huwa hawakai na la moyoni katu hayo ni machache tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
kuna mmoja yupo tofauti na yote uliyosema
 
Maisha yangu yapo poa sana now,sijisifii ila naongea ukweli, financially nipo vizuri sana,sasa nataka kuoa,huku duniani kumeharibika sana nataka kuoa binti mlokole nimehisi wao watakuwa wana afadhali,mliooa walokole tupeni uzoefu tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi uwe makini kaka, kuna wengine wanautumia ulokole kama kichaka/ wanafahamika kama walokole lakini bado wana tabia mbaya tu. Nashauri uwe makini kuangalia tabia ya mtu badala ya kutegemea imani ya mtu peke yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom