Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,615
- 34,347
Kwa hiyo mkuu walokole haunishauri kabisa
Kwani Wana mioyo ya pembe moja?Maisha yangu yapo poa sana now,sijisifii ila naongea ukweli, financially nipo vizuri sana,sasa nataka kuoa,huku duniani kumeharibika sana nataka kuoa binti mlokole nimehisi wao watakuwa wana afadhali,mliooa walokole tupeni uzoefu tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo sentensi ya mwisho[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanajua sana style....
Ila jiandae ruhusa za kwenda mikesha,semina za vijana usiku,mazoezi ya kuimba kwa mchungaji,kutembelewa mara kwa mara kwako na mchungaji hasa ukiwa job
Hawezi kuwa na roho mbaya kama ameokoka unless fafanua nu roho mbaya kwa namna gani.Jiandae, mara nyingi atashinda na kukesha kwenye maombi, kila utakachomwambia hadi kikapitishwe na baba mchungaji, roho mbaya ndo kwao mkifanana roho hakijaharibika kitu
Huwajui watu wanaojiita "walokole"Hawezi kuwa na roho mbaya kama ameokoka unless fafanua nu roho mbaya kwa namna gani.
Mara mia binti anayeshinda ktk maombi kuliko anayeshinda saluni au baa
Usijidanganye ndugu kuoa mlokole hakukufanyi kupata mke sahihi maana hata huko kwenye ulokle kuna baadhi ya watu wamekwenda kuficha uovu wao tu. Ishu ni upendo wa kweli kwa utakayekutana na kuwa na hofu ya MunguMaisha yangu yapo poa sana now,sijisifii ila naongea ukweli, financially nipo vizuri sana,sasa nataka kuoa,huku duniani kumeharibika sana nataka kuoa binti mlokole nimehisi wao watakuwa wana afadhali,mliooa walokole tupeni uzoefu tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamjuaje mtu mlokole? toa sifa za mke mlokole ndo tujue wake zetu walokole au la tukupe mrejesho...Maisha yangu yapo poa sana now,sijisifii ila naongea ukweli, financially nipo vizuri sana,sasa nataka kuoa,huku duniani kumeharibika sana nataka kuoa binti mlokole nimehisi wao watakuwa wana afadhali,mliooa walokole tupeni uzoefu tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamzuia mwenzio asioe wakati amani ya maisha yake ameischoka haihitaji tena...unaroho mbaya sana wewe...Acha kuamua maamuzi ya majuto, achana na KUOA kabisa ni dizasta
Unamzuia mwenzio asioe wakati amani ya maisha yake ameischoka haihitaji tena...unaroho mbaya sana wewe...
true but false...Don’t take these comments seriously budda
Oohooooo!! Yashamkuta huyu.Acha kuamua maamuzi ya majuto, achana na KUOA kabisa ni dizasta
Kolabo ya wewe na mchungaji na tuntufye na rashidi hiyo haiwezi...Mzee wa kanisa hajambo mchungaji wako bado anakuja asubuhi asubuhi kwa kusifu kazi ya uumbaji?Waooo.
Huyu kolabo yetu ataiweza kweli shost?