Kama anavyotembelewa madame B ya mchungaji wake mpaka raha sasa...Wanajua sana style....
Ila jiandae ruhusa za kwenda mikesha,semina za vijana usiku,mazoezi ya kuimba kwa mchungaji,kutembelewa mara kwa mara kwako na mchungaji hasa ukiwa job
Kama anavyotembelewa madame B ya mchungaji wake mpaka raha sasa...Wanajua sana style....
Ila jiandae ruhusa za kwenda mikesha,semina za vijana usiku,mazoezi ya kuimba kwa mchungaji,kutembelewa mara kwa mara kwako na mchungaji hasa ukiwa job
Mcha Mungu to the maximum, na la mwisho anakuwa hachepuki bila kusahau ananena kwa lughaUnamjuaje mtu mlokole? toa sifa za mke mlokole ndo tujue wake zetu walokole au la tukupe mrejesho...
Wenye hofu ya Mungu Mara nyingi ndo hao walokoleUsijidanganye ndugu kuoa mlokole hakukufanyi kupata mke sahihi maana hata huko kwenye ulokle kuna baadhi ya watu wamekwenda kuficha uovu wao tu. Ishu ni upendo wa kweli kwa utakayekutana na kuwa na hofu ya Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmh!!!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mbona unawakandia walokole hivyo hebu tupe details kidogoHuwajui watu wanaojiita "walokole"
Heri mwajuma ndala ndefu sio hao
Upo kanisa gani nije na Mimi?Umeamua uamuzi mzuri ndugu.cc walokole ni watu wazuri,,,,mtu aliye okoka ana hofu ya Mungu ndani yake.na hao wanaokwambia cjui walokole wamechakaa cjui nn wana yao..hakuna kitu km hicho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na nani?
Hiyo nayo changamoto[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanaheshim baba mchungaji kuliko mume...anaweza hata mpigia magoti akiwa anamsalimia lakin hawez mfanyia hivyo mume wake.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wadada wa kilokole ni chakula cha madhabauni wanatafunwa na wapendwa wengi ni HIV + na wametoa mimba nyingi sana hadi hakuna kizaziMaisha yangu yapo poa sana now,sijisifii ila naongea ukweli, financially nipo vizuri sana,sasa nataka kuoa,huku duniani kumeharibika sana nataka kuoa binti mlokole nimehisi wao watakuwa wana afadhali,mliooa walokole tupeni uzoefu tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mtindo huu tutakuwa hatuoi aiseeeHao wadada wa kilokole ni chakula cha madhabauni wanatafunwa na wapendwa wengi ni HIV + na wametoa mimba nyingi sana hadi hakuna kizazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiandae kuwa mpole atakuendesha na huo mpunga wako utajuta, kanisani muda wowote hata usiku wa manane, anampenda na kusikiliza mchungaji wake kuliko wewe mumewe. Ukimkorofisha atawaleta waumini wenzie wakuimbie mapambio usiku kucha. Labda umpate binti mlokole ambaye si mfia dini. Lakini ukikutana na yule wa mashahidi wa yehova hata kumgegeda atakupa mashartiMaisha yangu yapo poa sana now,sijisifii ila naongea ukweli, financially nipo vizuri sana,sasa nataka kuoa,huku duniani kumeharibika sana nataka kuoa binti mlokole nimehisi wao watakuwa wana afadhali,mliooa walokole tupeni uzoefu tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jiandae kuwa mpole atakuendesha na huo mpunga wako utajuta, kanisani muda wowote hata usiku wa manane, anampenda na kusikiliza mchungaji wake kuliko wewe mumewe. Ukimkorofisha atawaleta waumini wenzie wakuimbie mapambio usiku kucha. Labda umpate binti mlokole ambaye si mfia dini. Lakini ukikutana na yule wa mashahidi wa yehova hata kumgegeda atakupa masharti
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabinti wengi walokole Si halisia wengi washaenda kwa Waganga, washafanya umalaya, wengine wanapitia huko ili waonekane wema mtu kama wewe ujitokeze uwaoe.Maisha yangu yapo poa sana now,sijisifii ila naongea ukweli, financially nipo vizuri sana,sasa nataka kuoa,huku duniani kumeharibika sana nataka kuoa binti mlokole nimehisi wao watakuwa wana afadhali,mliooa walokole tupeni uzoefu tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Enheee!!! Ikawaje????😀😀😀mada hii kiboko kuna jamaa mmoja alimpa mimba mwimba kwaya
Hawa ndo wakua nao makini kuliko hata wa mitaaniWengi ni wanafiki tuu. Labda umpate Yule aliekula humohumo .lakini wale walioupatia ukubwani Kuwa makini wengine walienda kwaajili ya kusolviwa matatizo ya dunia mf majini, uzazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha kufanya achukue msichana wa kawaida then amfundishe neno...ili awe na imani ( but sio extreem) maana washika dini hawana maaana.Kuishi na extremists ni kazi sana, haijalishi dini gani, akiwa extremist na wewe unapenda maisha ya kawaida utapata shida sana.