sijapata wakunipenda na mimi nikampenda. yaani sijawai kupata mtu ambae yupo directly proportional na mimi nakutana na inversely proportional umeelewa?Kwa nini hujaolewa?
Ni zaidi ya ndugu chief...ukitaka watoto utafanyaje?utaowa nduguyo au utajizalisha?mwanzo nilikuwa na mawazo kama yako ila wakati ulinilazimisha niwe na mke,ni naturally utajipangia kwamba hutolala kwa week nzima na utaweza ila mengine kama binadam uliekamilika huwezi kuyakwepa.Mkeo sio ndugu yako.
Aisee....badala ya kutafuta nimtafutie, badala ya kulala nimlaze, badala ya kuzaa nimzalishe, badala ya kutajirika nimtjilishe, badala ya kuwasaidia wazazi wangu niwasaidie wazazi wake, badala ya kununua gari nimnunulie yeye, badala ya kunenepa nimnenepeshe, badala ya kutoka out nimtoe out, ongezea na ww mengine. hakika mwanamke sio ndugu yangu
ubinafsi gani? mimi anenipenda simpendi.naempenda hanipendi sasa nifanyeje?Acha ubinafsi...
Hivi wewe unafikiri mungu hana akili eeeh......unadhani kwa nini alipomuumba adamu akagundua kuna kitu hakipo sawa akaamua kumuumba mwenza wake.......sasa wewe usioe ubaki hivyo hvyo .......halafu naskia harufu ya roho mbaya kutoka kwako
Hebu nioneshe wapi nimesema sitaki kuoa.Habari za Jumapili.
Napenda kutoa pongezi kwa wwanaume wenzangu mliooa. Kuamua kuoa si jambo rahisi hasa ukifikiria unakabidhi UHURU na MALI ZAKO kwa mtu ambae huna undugu nae!!
Mawazo kama haya huwa yananijia Jumapili ambayo ni siku ninayofurahia sana wiki nzima. Jumapili njema jamani mimi nasikiliza Easy Sunday Clouds Fm huku nikisoma kitabu taratibu.
ndo group lako hiloAisee....
Vipi...nawewe...umeshaolewa...kuna maswali yenye ukakasi unidadavulieMungu akujalie na wewe uoe, Jumapili njema
Kwani wewe hujasikia mwanandoa akiumwa mwenzie ANAMKIMBIA? Sio guarantee eti ukioa ndio utahudumiwa na ukiemuoa katika shida anaweza kukimbia vile vile.Ni kweli wanastahili pongezi kwa kuwa kuna faida nyingine nyingi wanazipata katika ndoa zinazozidi umuhimu wa UHURU na MALI ZAO.
Umeshawahi kufikiria ikitokea ukaumwa sana kiasi cha kushindwa hata kujiogesha, sio uhuru wako wala mali zako zitakazo kusaidia?
UTU ni bora kuliko UHURU na MALI.
Hatahivyo, ukiona mtu anajutia ndoa yake jua alikosea kuoa,ila ukipatia kuoa hutahofia UHURU wala MALI ZAKO.
acha ukauzu wewe.njoo nikuunganishe na mtoto wa bilionea hatotumia hata centi yakoKwani wewe hujasikia mwanandoa akiumwa mwenzie ANAMKIMBIA? Sio guarantee eti ukioa ndio utahudumiwa na ukiemuoa katika shida anaweza kukimbia vile vile.
Mali zako will pay for medical attention kuanzia kuogeshwa hadi dawa.
But ur money will never give you unconditional loveKwani wewe hujasikia mwanandoa akiumwa mwenzie ANAMKIMBIA? Sio guarantee eti ukioa ndio utahudumiwa na ukiemuoa katika shida anaweza kukimbia vile vile.
Mali zako will pay for medical attention kuanzia kuogeshwa hadi dawa.
sikujua kama rrondo ni mchoyo hiviBut ur money will never give you unconditional love
na nikuambie kitu hakuna mwanamke asiependa kula hela ya mwanaume hata awe na hela vipi.wewe kusanya tu ila ipo siku zitaliwa tuHa ha ha mimi sio Mario.....on a serious note kuna mtoto wa bilionea nilimkataa sasa hivi najuta maanake masikini wenzangu nao balaa!