Mliooa mnastahili pongezi

Mimi ambaye nimeshakuwa kotekote, naelewa sana.

Been there, done that.

That firsthand experience is ginormously valuable.
Didnt know that u were married before.
 
yap inaelekea jamaa ana kauchoyo kana mla kwa ndani? labda ana mali na alipata kwa msoto mkali .ndo ubaya wa kuwa tajiri kabla ya kuoa
Jamani nimevaa uhusika ili tujadili mada, jadilini mada sio mtu.
 
Uchoyo unamzidi anapondaga sana kuoa atajiju


Sina mpango wa kuoa janamke Leo wala kesho.. Mtoto ninae...
Nikipandwa nyege mijanamke ipo ya kumwaga, ya kila aina, hasa hapa Chuo nachofundisha tubinti twa kupoza ugwadu tumejaa Tele...
 
Sina mpango wa kuoa janamke Leo wala kesho.. Mtoto ninae...
Nikipandwa nyege mijanamke ipo ya kumwaga, ya kila aina, hasa hapa Chuo nachofundisha tubinti twa kupoza ugwadu tumejaa Tele...
unanikomoa mimi au kisangara chako zidombe tu maisha ndo haya

Nb huwezi kushindana na ulipotokea
 
uoga wa majukumu ndo ubinafsi wenyewe huo yaani huwezi jitoa kwa ajili ya wengine
Ubinafsi na uoga ni vitu viwili tofauti.
Naweza kutamani sana kuoa ila naogopa nitamlisha nini coz sijiamini na kipato changu huu ndio uoga wa majukumu.

On the other hand mtu ana hela lakibi anaona akioa atamfaidisha gold digger au kukosa uhuru, huu unaweza kuuita ubinafsi.
 
Didnt know that u were married before.

You didn’t?

Mbona hilo nilishalisema mara nyingi tu humu...labda hukuona tu.

Kwa kweli kwa mtu aliyezoea kuwa mwenyewe tu [single] halafu aje aachane na hiyo hali na sasa awe na mtu mwingine karibu yake muda wote, ina present culture shock kubwa sana.

In a way, I’m more like you in the sense that I like and I enjoy being alone many times.

Hii personality trait ni bonge la changamoto linapokuja suala la ndoa.

Binafsi sijajua namna ya kui overcome hiyo challenge. Hence my conclusion that marriage ain’t for everyone.
 
Wewe miss acha kunizingua. Kuishi na mke si sawa na unavyoishi mwenyewe. Wengi ndoa zinawashinda kwassababu wanataka waishi ndoani kama mabachela.
Mmh
Kwahiyo hiko ndio kinakufanya usitamani kuoa
 
Kwanini ubinafsi na sio uoga wa majukumu?
Kukabidhi Mali zako kwa mwanamke asiye ndugu yako kauli ya kibinafsi

Uoga huwa upo ukiamua unaweza muda ukifika utaoa lkn usitangulize Mali zako atazifaidi mke tena asiye nduguyo je unataka uoe nduguyo ni hayo tu jpili njema
 

Nafikiri ndio sababu zinazowafanya watu kama Floyd Myweather na Cristiano Ronaldo wasifunge ndoa kabisa katika maisha yao.
 
lazima kuna aina fulani ya stress itakuwa inakusonga....hao rafik zako wanachangia sana ww kuwa na mtazamo huu kwenye swala la kuoa,
 
At last someone know where i'm coming from.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…