Tupo tayari kusikiliza matatizo yenu ya kazini na ma boss wenu, kupokea malalamiko ya wakopwaji kucheleweshewa pesa yao, kuwahudumia mkiumwa na matusi ya dada zenu wakiona hatukustahili kuwa wake zenu.Mkuu hujui kuwa mke ni zaidi ya ndugu kwako, kwanini unahesabu zaidi mali, Mbona ukio mke anakukabidhi maisha yake. Nahisi maisha ya mke na muda wake vina thamani kuliko mali unazozitaja.
Im nearly there....marafiki zangu 75% divorced, 25% iliobaki hawana tofauti na mimi, sommetimes mimi nawahi nyumbani kuliko wao, wana mademu wengi kuliko mimi!Mkuu, subiri ufike miaka 40 kila rafiki yako ana familia anawahi nyumbani akakae na familia yake ndo utajua umuhimu wa kuoa.
Hakuna raha kama kufahamu kuna watu ambao maisha yao yanakutegemea wewe completely.
hadi uoane na mtu si lazima muwe mnajuana na mmeridhiana mkaona mnaendana? mfano kama mtu hapendi pombe atatafuta mnywa soda mwenzake maana mnywa pombe atamkera. kila tabia uliyonayo mwenzako atakuwa ameridhika nayo toka mwanzoni .sasa shida itatokea wapi?labda sema hupendi majukumu .maana kitakachoongezeka ni majukumu ,mfano umezoea kulala saa mbili usiku ,inatokea watoto wanalia usiku kucha itabidi usaidie,umezoea umeme wa elf 50 mwezi,familia itaongezeka bill inapanda .Wewe miss acha kunizingua. Kuishi na mke si sawa na unavyoishi mwenyewe. Wengi ndoa zinawashinda kwassababu wanataka waishi ndoani kama mabachela.
Mkuu maisha ya kidhungu yameishakuathiri nini, wanaume wa bongo hatukabidhi uhuru wetu bana. Wao ndo wanakabidhi uhuru wao. Mali ni za watoto, so oa tu ufurahie maishaNajiuliza nitaweza kukabidhi uhuru wangu?
Hujasikia watu mnakubaliana vizuri, au mtu anajua kabisa mimi mlevi lakini tukifunga ndoa tu anaanza kulalamikia ulevi ? Mtu akitaka ndoa atavumilia mapubgufu yako mengi ukimuoa tu kibao kinageuka.hadi uoane na mtu si lazima muwe mnajuana na mmeridhiana mkaona mnaendana? mfano kama mtu hapendi pombe atatafuta mnywa soda mwenzake maana mnywa pombe atamkera. kila tabia uliyonayo mwenzako atakuwa ameridhika nayo toka mwanzoni .sasa shida itatokea wapi?labda sema hupendi majukumu .maana kitakachoongezeka ni majukumu ,mfano umezoea kulala saa mbili usiku ,inatokea watoto wanalia usiku kucha itabidi usaidie,umezoea umeme wa elf 50 mwezi,familia itaongezeka bill inapanda .
kuhusu uhuru wako sidhani kama kuna mtu anaweza kukudhibiti wewe sema tu itatokea naturaly utabanwa na majukumu ya familia ila hakuna wa kukupangia wewe
mimi sijaolewa na mimi kiukweli sifukuzii ndoa .yaani mimi naweza kuishi bila ndoa kabisa .ila nimegundua kitu kimoja watu wengi wanaforce kuoana.mimi sijaolewa kwa sababu siko tayari japo muhenga pia sijawai kukutana na mtu sahihi kwangu.so rrondo usiangalie marafiki zako .usiangalie kufeli kwao .wewe siku ukipata mtu unaeamini ni sahihi kwako oa.ila zaidi ya hapo acha kabisa maana utarudi hapo kwenye 75Im nearly there....marafiki zangu 75% divorced, 25% iliobaki hawana tofauti na mimi, sommetimes mimi nawahi nyumbani kuliko wao, wana mademu wengi kuliko mimi!
Na hio furaha kujus kuna wanaokutegemea sio kila mtu, wengine ni kero ndio maana kuna wanaokimbia familia.
Kuna jamaa yangu yupo bush,alichelewa kuoa.mwishowe aliolewa yeye.bahat mbaya sana tumetofautiana siku.mie hunijia kila siku ya j'mosi hili jambo.tafakar kisha chukua............!Habari za Jumapili.
Napenda kutoa pongezi kwa wwanaume wenzangu mliooa. Kuamua kuoa si jambo rahisi hasa ukifikiria unakabidhi UHURU na MALI ZAKO kwa mtu ambae huna undugu nae!!
Mawazo kama haya huwa yananijia Jumapili ambayo ni siku ninayofurahia sana wiki nzima. Jumapili njema jamani mimi nasikiliza Easy Sunday Clouds Fm huku nikisoma kitabu taratibu.
sijui kama kuna watu kama hao mkuu .ila mimi naamini katika ukweli na uwazi.Hujasikia watu mnakubaliana vizuri, au mtu anajua kabisa mimi mlevi lakini tukifunga ndoa tu anaanza kulalamikia ulevi ? Mtu akitaka ndoa atavumilia mapubgufu yako mengi ukimuoa tu kibao kinageuka.
Nilijua nikitoa post hii majibu mengi yatakuwa usiangalie wenzio. Of course siangalii hali zao, ila najibu kuwa there is another side of married couples.mimi sijaolewa na mimi kiukweli sifukuzii ndoa .yaani mimi naweza kuishi bila ndoa kabisa .ila nimegundua kitu kimoja watu wengi wanaforce kuoana.mimi sijaolewa kwa sababu siko tayari japo muhenga pia sijawai kukutana na mtu sahihi kwangu.so rrondo usiangalie marafiki zako .usiangalie kufeli kwao .wewe siku ukipata mtu unaeamini ni sahihi kwako oa.ila zaidi ya hapo acha kabisa maana utarudi hapo kwenye 75
Itakuwa hivyoKaolewa una maana amekuwa GAY?
there is offcourse ila kwanini uache kufanya kitu kwa sababu wengine wameshindwa.wewe sio wao kumbukaNilijua nikitoa post hii majibu mengi yatakuwa usiangalie wenzio. Of course siangalii hali zao, ila najibu kuwa there is another side of married couples.
Ubinafsi tu aoe Mali zake sasaunaona shida gani kushare maisha yako na mtu mwingine?
Nani kakwambia sioi kwasababu ya hao walioshindwa? Hio post nimemjibu huyo jamaa kumuonesha im not that young na 95% ya rafiki zangu wameoa.there is offcourse ila kwanini uache kufanya kitu kwa sababu wengine wameshindwa.wewe sio wao kumbuka
last year my sis alianza ivf procedure kupata mtoto .she is 46 now.story ni nyingi success rate ni ndogo sana .lakini akaniambia mdogo wangu miss lazima nifanye hichi kitu .just imagine alikuwa amebakiwa na mayai matano.yakarutubishwa yote yakabaki matatu then mimba akabaki mtoto mmoja.walipandikizwa wamama 20 wakabeba mimba 8 wakazaa wanne.
our baby is 3 month now very healthy uje umuone.
toka hapo nimejifunza kutoangalia kushindwa kitu kwa wengine aisee.kila mtu ana destiny yake hapa duniani na mipangilio yake.
yap inaelekea jamaa ana kauchoyo kana mla kwa ndani? labda ana mali na alipata kwa msoto mkali .ndo ubaya wa kuwa tajiri kabla ya kuoaUbinafsi tu aoe Mali zake sasa