Duh hii kali..Mimi kama mwenyekiti wa mabachelor katika kata ndogondogo za jijini, natoa rai kwa wanachama wote wajitokeze kumuombea huyu mwenzetu.
Maana mara nyingi wanaosemaga hivi, huwa wapo karibu kutumbukia kwenye hukohuko kwa ndoa. Karibu atapotea ndugu yetu.
Nawasilisha.
Kweli mkuuKuoa ni mpango wa Mungu na huwa unakuja automatically hautalazimishwa na mtu ukiona unasita kufanya maamuzi ya kuoa jua Mungu bado hajapanga
Tunaelekea kumpoteza kwenye chama.Mimi kama mwenyekiti wa mabachelor katika kata ndogondogo za jijini, natoa rai kwa wanachama wote wajitokeze kumuombea huyu mwenzetu.
Maana mara nyingi wanaosemaga hivi, huwa wapo karibu kutumbukia kwenye hukohuko kwa ndoa. Karibu atapotea ndugu yetu.
Nawasilisha.
Nafurahi kusikia u mzima KakanguBasi ni vizuri kama wiki yako imeanza poa, bila shaka kila kilichopangwa kimeenda vizuri.
Hali yangu si mbaya bibie!
thanks dera ulete pampas .tunatumia huggiesCongrats to her jamani! Ni kweli kabisa kila Mtu Ana namna yake na njia yake ya kupita ktk safari hii ya maisha,kuangalia wenzio Kwaweza sababisha ukaona Giza totoro mbele na haimaanishi kushindwa Kwa mwenzio ndiyo kushindwa kwako!cha muhimu ni kuamini na kusonga mbele!
Mi naona ukikutana na mtu ambaye hutotamani kuwa nae mbali ndo mwanzo wa matatizo. Maana, kuna siku tu atakuwa mbali. GuaranteedWakati sahihi ukifika, hutaona ugumu wala kujiuliza maswali yasiyo na majibu. Hold on hadi mda ufike, then ukutane na mtu ambaye hutotamani kuwa nae mbali.
Nashukuru kwa mchango wako wa busara.Tunaelekea kumpoteza kwenye chama.
Mheshimiwa Mwenyekiti kesho tuitishe kikao cha dharula
ni gharama sana zileSiku hizi hamtumii nappies zile nzito nyeupe?
Nashukuru kwa kuendelea kuwa na imani na chama hiki.Kukiacha hiki chama si kazi rahisi
Mwenyekiti inawezekana si mawazo yake ila anashawishiwa na Watu wasiokitakia mema chama chetu.Nashukuru kwa kuendelea kuwa na imani na chama hiki.
Umetuwakilisha vyema katika thread hii.
Tutafanya hafla fupi kwa ajili yako.
Ni kweli kabisa.Mwenyekiti inawezekana si mawazo yake ila anashawishiwa na Watu wasiokitakia mema chama chetu.
Tumhoji kwa utulivu ili tujue wabaya wetu
thanks dera ulete pampas .tunatumia huggies
Sisi wahenga tunasema unakutana na kitu inaitwa one side relationship yn li mtu linakupenda ila hata ujali alf unapopenda wewe unakuwa huelewekisijapata wakunipenda na mimi nikampenda. yaani sijawai kupata mtu ambae yupo directly proportional na mimi nakutana na inversely proportional umeelewa?
Haaaaaa naona unatandika shati kitandani unataka kulala haaaa hapo umeshindwa kukontrol emotional za mwanamke wakoKweli tuko tofauti, mimi natamani kuoa ila tatizo ninaempenda hayupo tayari
Wanaokimbilia kuoa wote ni waoga wa kuachwa na madem zao. Kifupi hawajiamini.[/QUOT
Mkuu hata baba ako alikuwaga muoga akawahi kuoa ili apate mtoto muoga kama wewe samahan lakin hapo umetuaibisha wanaume