Mliompigia debe Magufuli nawauliza swali...

Hahhhaahahaaaaa.....umemjibu vizuri sana huyu ambaye hamjui JPM ni nani kiundani....chadema mtabaki na chadema yenu na Mbowe wenu,na Lowasaaa wenu na Lema wenu, sisi tuacheni na JPM wetu mpenda wanyonge....naipenda CCM hadi naumwaaaaaaaaaaaaaaa

Wewe ni me au ke???
 
Unyonge mwisho Makoroboi, Kagera hakuna wanyonge
 
Mleta mada anawakilisha jamii ya wanafiki wengi sana hapa JF, na ndio wanaomponza hata Max anakamatwa!
hilo ndo tatizo la awamu hii uoga na kukataa kukosolewa ndo kuja kusaka ip adress zetu ili mtuhangaishe kalini ukweli uko pale pale mabaya ni mengi mno nguvu ni kubwa sana inayotumika serikali na watendaji hawana mawasiliono mara huyu anakimbiza wamachinga mara huuyu anamuwajibisha nadhani kila jambo lngekuwa na mipangilio kungekuwa na ahueni matamko haya na kuukosa mawasilianio ni hatari sana tuko kama tunajenga mnara wa babeli unaambiwa leta zege unalita nyundo kubalini kubadilika na mchukue ushauri wa watanzania ule mnaoona unafaa mambo mengine mnaachana nayo unless mtu ahatarishe usalama wa nji yetu hii ...
chapeni kazi buana na mujipange mawasiliano ni muhimu sana ili kuimarisha serikali
 
Nyani Ngabu: Sisi wengine tumekuelewa sana. Tatizo katika nchi hii, kundi kubwa la watu wa nchi hii huwa hawajifunzi kutokana na makosa. They would rather defend their mistakes than taking corrective measures. Kwani kuna Mtanzania asiyejua kwamba Nchi yetu imetawaliwa na chama kimoja tu tangu ipate uhuru, na imeendelea kuwa maskini tangu wakati huo huku chama hicho kikiendelea kuchaguliwa mwaka hadi mwaka? unaweza kuelezeaje hali hiyo bila kutumia jina "ujinga"?
 
Kila kitu ni relative na hivyo uonavyo wewe, lkn wengi wetu tuliomchagua tunaona yuko njia sahihi kabisa na kama akisimama tena ana kura zetu!
Mimi uchaguzi uliopita sikupiga kura kwasababu sikuona mgombea yoyote anayefaa lakini 2020 niko tayari kumpa Magufuli kura yangu.
 
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.
Tulikua sahihi... mana maendeleo yanaonekana muda huu na kila kitu kiko wazi, hakuna maisha ya ujanja ujanja na nzuri zaid watu wa hali ya chini wanampenda... Mh Rais alisema ye ni Rais wa wote hasa walala hoi wafurahie matunda ya nchi hii.
 
Mimi sikumchagua safari hii amepata kura yangu. Ki ukweli anaipeleka tz patamu
 
Kila kitu ni relative na hivyo uonavyo wewe, lkn wengi wetu tuliomchagua tunaona yuko njia sahihi kabisa na kama akisimama tena ana kura zetu!

Kama ulisikiliza kwa makini hotuba za baadhi ya wale makada wa ccm aliowatunuku vyeo walipokuwa wanamshukuru kwenye mkutano wa NEC utagundua kitu kimoja dhahiri na hasa hötuba ya Nchimbi kuwa WALIKUWA WANAMNANGA JPM KUWA YEYE HAKIJUI CHAMA na wao wanakijua hicho chama kuliko yeye!!! Kama hivyo ni kweli tutegemee upinzani mkubwa ndani ya ccm dhidi ya JPM kuelekea uchaguzi wa 2020!! Hayo ni maono yangu msije mkanifunga!!!
 
Ngoja niende Butiama kuhiji, kusali, na kumuomba Mungu kwenye kaburi la Baba Wa Taifa. Nikirudi nitaanika uozo wote. Nchi yangu Tanzania imepotoka. Tunakoenda siko.
Ungewahi mapema hatua tuliyofikia haisaidii tena ni ama unyamaze ili uishi au piga kelele uwe mhamiaji haramu.
 
Kati ya wagombea wote waliogombea, Magufuli ndiye bora, hata taasisi yake (CCM) ndio ilikuwa yenye mapana Na marefu ya kuiongoza hii nchi!!
Sijutii kura yangu kumpa Magufuli
Shwaini wahedi!
 
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.

Hivi tulimuunga mkono au kura ziliibwa? Saa nyingine mmanichanganya kabisa...
 
Ukiona unafanya jambo wabaya wako wanakushangilia inakubidi ujitafakari upya ila ukiona wabaya wako wanalalamika hapo kaza nati, umewapiga za uso.
 
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.

Kati ya vitu ambavyo sivipendi hapa duniani, Kwa orodha:

1.Umasikini

2.Ugaidi

3.CHADEMA
Yaani ni bora hata ukapighia kura mbuzi kuliko hicho kitega uchumi cha Mbowe.Kwanza hata kukitamka nataka kutapika.

Hili chama naomba usiku na mchana lijifie mbali.
 
Chadema ndio walimpa Magufuli kura nyingi ushahidi ni sehemu nyingi ambazo wameshinda ubunge lakini kura za urais zikawa upande wake gia yenu ya angani na kutuletea mtu aliyekuwa ndani ya uozo wa ccm kuwa ndiye awe kiongozi wa mabadiliko kilikuwa kichekesho cha mwaka
 
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.
Ngosha naona jamaa kakutia uchungu kweli kweli ..........!!

Anyway, cc Mzee Mwanakijiji
 
Hayo ni maoni yako lkn Tanzania na Dunia inajua kwamba Raisi wa JMTZ ni Pombe Magufuli!
watanzani tunajua ni raisi wa ccm tena badhi nilimsikia jana akisema wanafanya mikutano ya chama ikulu wapinzani wakitaka wakaombe lakini waseme ajenda zao😎😎😎😎
 
Back
Top Bottom