habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,753
Hahaha kishanunuliwa huyoUkweli bado haujabadilika 2018 na unazidi kujiweka bayana.
Hahaha kishanunuliwa huyoUkweli bado haujabadilika 2018 na unazidi kujiweka bayana.
Hata 2020 utampigia debeDaah ku.. m a.. maeeee mm nilimpigia huyu m..s..e..nge aki ya nan kama nikipata nafas nitawaomba radhi watanzania kwa kumpigia kura mtu mjinga kama yule mungu anisamehe kwa kumpigia kura muuaji
Sema ana kura yako,sio zetu.zetu na nani anamtaka?
Nadhani sasa JP unamjua vizuriSwali zuri ...hivi kati ya EL na JPM yupi Chadema ilitusaidia kumjua vizuri zaidi? In short Chadema ilifanikiwa sana kumbomoa EL na mwisho kushindwa hadi kupitia chama chao. Labda nikuulize ....hivi unamtemaje Dr Slaa miezi michache kabla ya uchaguzi (ingawa wengine watasema alitoka mwenyewe bila kujua steps). Tumevurugwa na Chadema sana ....kama akili zako zipo sawa unahitaji PHD ya kumuelewa EL ili kumpa kura badala ya JP ambaye humjui kivileee ...
magufuli anaongoza nchi sio chama chadema ikifa leo wataharibikiwa wanaofaidika na chadema,ikiangamia nchi tutakwisha wote nyi jifanyeni hamnazo tu.mtofautishege cdm na tanzania.Vipi viongozi wenu wamerudi toka majuu au bado wanatumbua gawio la chama. Wewe unalalamika kuisoma namba wenzio wanatumbua gawio la chama!!
Shughuli ya chama kwa sasa wamemwachia mmiliki/mnunizi wa chama aendelee na chama chake.
Umesahau ulivyokuwa una kenua meno kisa msukuma mwenzako leo umekosa uteuzi una mgeuka na kusahau ulivyokuwa una timbwilika?Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.
Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].
Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?
Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?
Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.
Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.
Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.
I will not regret ....JPM pamoja na mapungufu yake lakini ndio best option iliyokuwepo ..Nadhani sasa JP unamjua vizuri
Those are just words, I'm sure one day you will be in your mind..Ndo maana kura yangu ilienda kwa yule mama wa ACT.
I just couldn't bring myself to voting for either Magufuli or Lowassa.
And I don't think I'll ever vote for CCM in my lifetime.
I will not regret ....JPM pamoja na mapungufu yake lakini ndio best option iliyokuwepo ..
Sent using Jamii Forums mobile app