Mliompigia debe Magufuli nawauliza swali...

Mm simwelewi kabisa huyu mzee wetu mkuu wa kaya; kila siku yeye ni ugomvi tu, kiasi kwa mtaani kwetu wanamwita baba ubaya. Hata sigara yenyewe imekosekana pesa ya kununa. Siku hizi kina jamaa waliompogia debe wanalia hapa kitaa. Yaani wanajilaumu sana.
 
Mm simwelewi kabisa huyu mzee wetu mkuu wa kaya; kila siku yeye ni ugomvi tu, kiasi kwa mtaani kwetu wanamwita baba ubaya. Hata sigara yenyewe imekosekana pesa ya kununa. Siku hizi kina jamaa waliompogia debe wanalia hapa kitaa. Yaani wanajilaumu sana.
Umenikumbusha nyimbo ya doper man - jina baya nimepewa BABA UBAYA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.
......
.....Ngalo!!!
 
Kila kitu ni relative na hivyo uonavyo wewe, lkn wengi wetu tuliomchagua tunaona yuko njia sahihi kabisa na kama akisimama tena ana kura zetu!
IPI NJIA SAHIHI?HAKUNA
AJIRA
MIKOPO KWA WANAFUNZI
WATUMISHI KUNYIMWA STAHIKI ZAO
KUKURUPUKA KILA KUKICHA NA MWISHO MAUMIVU KWA WANANCHI WA KAWAIDA MFANO ISHU YA SUKARI,SUALA LA CHAKULA,KUKEJELI WALIOFIKWA NA MAJANGA
KUMINYA DEMOKRASIA
wewe unaona yuko sahihi?KIFUPI TANZANIA YANGU IKO MITA CHACHE SANA KUTOKA KABURINI NA MUDA ULIOSALIA ITAFIKA TU.
 
Back
Top Bottom