Mliompigia debe Magufuli nawauliza swali...

Mliompigia debe Magufuli nawauliza swali...

JPM ameshushwa kuja kuiokoa tz,piga picha lile Lowassa angekuwa president,wahuni wote wangekuwa serikalini,wapigaji wote serikalini,kapuku kama mimi ni wa kukojolea tu
Word watu wanajitoa ufaham,sekta zao za dili zimeguswa
 
umesahau kama na nyinyi mlipiga pushap!labda anakudekeza we na familia yako
Ila 2020 hata akiunganisha na miereka hapati kura yangu pamoja na ukoo wangu wote
Ndo kwanza bado 4 unatishia leo kutokumpa kura,ya Mungu unayajua[emoji57]
 
Nyumbu hao wakifuata kundi tu usiwalsumu sana. Wacha tusome namba zetu kwa pamoja.
 
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.

Unaumwa wewe, siyo siri
 
Wewe ni mpuuzi
Na ni mpiga dili
Fanya kazi kwa bidii
Achana na ujanja ujanja
Utampenda Rais Magufuli
 
1481691297013.png
 
Haya ni maoni yako, siyo lazuma yawe sahihi
Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.
 
Nina hakika kabisa mwigulu anahusika na hili sakata, hivyo apigwe 'life ban' humu jamvin
 
Alipigiwa kura na waadilifu, wapenda maendeleo, wenye utu, wapenda haki, wenye uzalendo na Taifa lao, wenye kuamini kuwa Taifa litajengwa kwa misingiya haki.Kazi yake kubwa imeanza kuonekana ambayo ni Rais Wangu, Nchi Yangu Matokeo ChayaA+. Mtu mwenye jicho la uadilifu na kuheshimu Umma ndiye aliyediriki kumchangua, wapenda Rushwa, Maisha ya Upigaji na Ufisadi hao hawakuwekeza kwake hivyo ni lazima walie...unavuna uliko panda, tuliopanda kwa Magufuli tuna mengi ya kuvuna sasa na siku za mbele zijazo.
 
Mungu atusaidie nchi yetu iendelee kuwa na amani, maendeleo yatapatikana kama watanzania wote tutafanyakazi kama timu moja.
 
Hahhhaahahaaaaa.....umemjibu vizuri sana huyu ambaye hamjui JPM ni nani kiundani....chadema mtabaki na chadema yenu na Mbowe wenu,na Lowasaaa wenu na Lema wenu, sisi tuacheni na JPM wetu mpenda wanyonge....naipenda CCM hadi naumwaaaaaaaaaaaaaaa
Mpenda wanyonge unga wa sembe mwaka 2015 ulikua 800 mapka 1000Ths leo 2016 ni 1500Tshs
na vitu vingi sana vimepanda mno, labda nyie wana CCM mna maduka yenu
 
Mleta mada anawakilisha jamii ya wanafiki wengi sana hapa JF, na ndio wanaomponza hata Max anakamatwa!
 
Ndo maana kura yangu ilienda kwa yule mama wa ACT.

I just couldn't bring myself to voting for either Magufuli or Lowassa.

And I don't think I'll ever vote for CCM in my lifetime.
mimi ccm never na siamini kiongozi yeyeto atakayeiongoza tanzania akiwa ccm never ever
 
Back
Top Bottom