Mliompigia debe Magufuli nawauliza swali...

Yaani natamani hii awamu ya tano iishe faster aje mwingine tuendeleze ufisadi. Maana nipo posta hapa na kijiwe changu cha kupigisha kiwi a.k.a shoe shine back then kuna mabishoo walikuwa wanakuja mara tatu kwa siku kusafisha viatu lakini safari hii hata siwaoni cjui wameamua kutembea na brashi zao kwenye mabegi [emoji22]
 
Ndo maana kura yangu ilienda kwa yule mama wa ACT.

I just couldn't bring myself to voting for either Magufuli or Lowassa.

And I don't think I'll ever vote for CCM in my lifetime.

Mkuu Nyani Ngabu CDM walitufikisha mahali pagumu kweli kweli ilifika mahali nikahamua mwaka 2015 sipigi kura kwasababu katika maisha yangu hapa duniani nilishajiapiza kutowapigia kura CCM hata wamweke malaika sababu ni nyingi sana sina haja ya kuziweka hapa.

Ghafla CDM wakatuletea mtu waliyekuwa wakimtuhumu ?.Baada ya kutafakazi sana niliamua kumpigia kura mgombea uRais ambaye nilijua asingeshinda lakini nikaamua huku nikishindwa kumlaumu mgombea wa CDM kwasababu kufanya hivyo kungekuwa na maana ya kumwongezea nguvu mgombea wa CCM.
 
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.
 
Mnafiki mkubwa
 
Wenye taharuki ni wala ngada na wauzaji..wakulima wanafanya palizi.
 
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.
Wewe hukuwahi kumuunga mkono Magufuli. Ulimuunga mkono Fisadi Lowassa. Lazima umuone Magufuli mbaya!
 
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.
kati ya chizi na lowasa
 
Acha kuleta fitna wewe
Sema mazuri na mabaya usikike sio unaropokaropoka2

Kama ulitegemea kufaidika uko CCM imekula kwako
Ni mwendo wa kazkaz
 
Huyu nyani ngabu saizi alisha wekwa sawa. Ni sawa na mtu anaitwa Pasco mayalla. Hawatofautiani. Ivi technically yupo wapi
 
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.

Ni utashi wao kama wewe ulivyompigia uliyemchagua
Haiwezekani wote muwe na mawazo ya aina moja hilo tena litakuwa tatizo
 
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.

'Nyani haoni kundule..!
 
Back
Top Bottom