Mlinzi wa Dk. Slaa ashambuliwa

Mlinzi wa Dk. Slaa ashambuliwa

Status
Not open for further replies.
wewe shoga unanini leo mbona kama unatafuta bwana! nenda kwa mashoga wenzio ccm mkajikune
Tatizo lako kamanda hauna matusi mapya watu wakusome kila siku haya haya.
 
Bila mama'ko kuwashwa wewe ungekuwepo? Fikiri.

Kama hajawashwa alibakwa.

Hivi nikuite dada yangu huwezi kutumia lugha isiyo na ukakasi? Napenda kusoma, na kusikia maoni ya wengine hata km tunatofautiana kwaji kuna kujifunza. Ila haya maneno unayotumia ni mazito na hasa ukiwa ni mwanamke unayeyaandika. Utawaambia jinsia ingine wanatukana wakati unajitukana mwenyewe? Tusijishushie hadhi.
 
Kwa komenti kama hizi unajishushia heshima ndogo uliyobakiza baada ya kuboronga utetezi wa wezi wa pesa za escrow.

Najishushia heshima kwani mimi bendera? Unanchekesha!

Semeni, huyo kijana kaweka sumu wapi?
 
Mwigamba wa ACT-TANZANIA ana mvuto mkubwa kuliko huyu toilet paper wa Chadema Dr. Slaa, Slaa labda awe Rais wa vichaa
Mkuu umekosea sana tena uko verify I'd halafu kiongozi wa chama.

Sheria ya ushindani wowote ule ni lazima kumheshim mpinzani wako, ila kwa hapa kila anaekufahamu lazima asikitike.

Jisahihishe mkuu.!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom