TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,884
- 5,770
Hivi utaratibu wa kuwapata walinzi wa viongozi wa chama unaanzia kule kwa wale vijana waliohitimu mafunzo juzi kati? Hahahahahaha. Make nikikumbuka zile suti nyeusi walizokuwa wamevaa na muwani mkubwa siku ya kuhitimu mafunzo, sina mbavu. Kwa jinsi mlivyokua mkijinasibisha na hao vibaka nikadhani kweli mmejipanga kumbe ushuzi mtupu. Sasa mnawapa mafunzo waje kuwaua viongozi wenu? Hahahahahaha.. sasa hao ndo mna imani nao kuwa wana uwezo wa kuwalindia kura?
Hawa ukiwapa viroba viwiliviwili wanakuachia masanduku ya kura, sure... hahahahahahahahahaha... chadema napenda(ga) sana maigizo yenu make mnanikumbusha(ga) mbali sana, enzi za KAOLE
Hawa CHADEMA ni wapuuzi sana, hivi wanawezaje kumfungia mtu wenyewe sasa kama wanamshurutisha kusema hili na lile tutajuaje?