Mlinzi wa Dk. Slaa ashambuliwa

Mlinzi wa Dk. Slaa ashambuliwa

Status
Not open for further replies.
Niliwahi sema Dr Slaa hayupo salama na anawindwa kama digidigi,watu wakabeza!! Mtasikia mengi mpaka October.
 
Intelligence ya CHADEMA ni ya kupigia mfano inavyoshughulikia wasaliti na ccm na washirika wao hii inatia moyo sana na kuonyesha kweli hiki chama ni mpango wa Mungu kuwakomboa watanzania

Wamegundua dr n mwiba kwao wanataka kummaliza....hamna litakalofanikiwa tunalindwa na Mungu
 
FaizaFoxy wewe ni mtu unayeheshimika sana na CCM wenzako hapa jukwaani hasa team EL wenzako.Sasa unapotoa kauli za ovyo utasababisha hata wale wana-CCM wa kambi nyingine wenye ustaarabu wasijiunge na kambi yenu

Kwanza kumbuka, mimi sina "team". Usisahau.

Kama kuna waliowahi kubeba sumu, basi ni wewe. Na limo humu humu JF. Usisahau.

Huyo kijana hakuna zaidi ya kufumaniwa tu.

Amuuwe Slaa kwa lipi zaidi? ana nini Slaa huyu asiyejuwa hata kuvaa?
 
Kamanda Kova, kama unapitia huu uzi watume vijana wako pale Ufipa Makao Makuu ya Chadema wakamuokoe huyu mlinzi wa Dr.Slaa watamuawa hawa Bavicha.

Hahahahaha!!
 
Binafsi nina wasiwasi wa Mohamed mtoi juu ya usalama wa chadema-nashauri viongozi wawe makini na waangalie mwenendo wake! awe mbali kidogo si wa kumwamini
 
CCM wanailinganisha Chadema na NCCR ya Mrema wanatumia mbinu zilezile za 1995.
 
Kwanza kumbuka, mimi sina "team". Usisahau.

Kama kuna waliowahi kubeba sumu, basi ni wewe. Na limo humu humu JF. Usisahau.

Huyo kijana hakuna zaidi ya kufumaniwa tu.

Amuuwe Slaa kwa lipi zaidi? ana nini Slaa huyu asiyejuwa hata kuvaa?
wewe faizafox ni mjinga sana tena utakua unageuzwa mbwa sana wewe,unadhani hatujui mnavyo muwinda dr.slaa
 
Kwanza kumbuka, mimi sina "team". Usisahau.

Kama kuna waliowahi kubeba sumu, basi ni wewe. Na limo humu humu JF. Usisahau.

Huyo kijana hakuna zaidi ya kufumaniwa tu.

Amuuwe Slaa kwa lipi zaidi? ana nini Slaa huyu asiyejuwa hata kuvaa?

Anajua kuvaa Wassira...
 
Binafsi nina wasiwasi wa Mohamed mtoi juu ya usalama wa chadema-nashauri viongozi wawe makini na waangalie mwenendo wake! awe mbali kidogo si wa kumwamini

Nenda kamwambie Kinana akae mbali na tembo kwanza
 
Binafsi nina wasiwasi wa Mohamed mtoi juu ya usalama wa chadema-nashauri viongozi wawe makini na waangalie mwenendo wake! awe mbali kidogo si wa kumwamini

Umetumwa wewe sio bure...kapange foleni upewe buku 7 yako
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom