Mlinzi wa Dk. Slaa ashambuliwa

Mlinzi wa Dk. Slaa ashambuliwa

Status
Not open for further replies.
kumshikilia mtu kinyume na matakwa yake ni utekaji na nikinyume na sheria za nchi acheni kumtesa mlinzi

Ni jambo lisilo la kistaarabu kukurupuka na kufikia hitimisho

Nakushauri usubiri taarifa rasmi

Ni kipi kigumu hapo kuelewa ? Umeambiwa usubiri taarifa rasmi sasa wewe unakimbilia majungu mkuu?
 
Mlinzi wa Dk Slaa,Kangezi,muda huu yupo makao makuu ya CHADEMA,akiwa na hali mbaya baada ya kushambuliwa na kuanzia asubuhi kwa tuhuma za kutaka kumuwekea sumu bosi wake.

Kangezi alianza kupigwa kuanzia saa tatu asubuhi baada ya kuchukuliwa na walinzi wa Chama hicho na kupekuliwa nyumbani kwake kwa ajili ya kutafuta kitu kitakachomuhusisha na Nape,Mwigulu, Kinana na Mzee Mangula

Ikumbukwe Kangenzi licha ya kuwa msaidizi wa Karibu wa Dk. Slaa ndiye alikuwa akilipwa fedha kidogo za mshahara kiasi kisichozidi sh. 400000 kwa mwezi.
Makamanda tuambie ukweli mnaficha nini.
 
Moderators tafadhali post ya Afisa habari Makene ipandishwe juu kwenye thread ili iwe balanced
 
  • Thanks
Reactions: 911
Ha ha ha! umeongea kiutu uzima FaizaFoxy, kitumbua kimemiminiwa sumu.

Huna hoja za msingi unakenua tu mwanaume hakenui hovyo unakenua msar wa.nch 7 unaingia hapo nyuma kwako.
 
Last edited by a moderator:
Ni jambo lisilo la kistaarabu kukurupuka na kufikia hitimisho

Nakushauri usubiri taarifa rasmi

Ni kipi kigumu hapo kuelewa ? Umeambiwa usubiri taarifa rasmi sasa wewe unakimbilia majungu mkuu?


"majungu"???

vijana wa chadema hapo ndio mna nichosha

badala ya kukanusha au kukubali taarifa ya mleta mada unasema eti majungu


mlete mada kasema toka saa Moja mme mshikilia mlinzi wa aliye kua Padri Dr slaa

mimi nmetoa angalizo tu kumshikilia mtu kinyume na matakwa yake ni kinyume cha sharia wew unasema ni majungu

SMDH
 
kumshikilia mtu kinyume na matakwa yake ni utekaji na nikinyume na sheria za nchi acheni kumtesa mlinzi

Haya mtetezi wa wahalifu sikushangai maana umefundishwa hivyo na wenzako wanaotetea kila kilicho haramu kwa ujira wa buku 7
 
Magamba haya sera kwisha kabisa hoihoi ya chadema wachieni chadema
 
Watawala wanahaha usiku huu kupotosha jambo hili baada ya siri za mipango yao kufichuka. Taarifa sahihi zinazohusu suala hili zitatolewa na chama katika hatua za baadae.

Makene

Mode Naomba munganishe jibu la Tumaini Makene kwenye Thread hii
 
Naona Chadema wanakuja na drama ingine tena mpyb kutafuta huruma kwa watanzania.

Dr.Slaa ulikuja na drama uchaguzi uliopita kuwa Usalama wa Taifa wanataka kukuawa, watanzania wakakupuuza .

Juzi kwenye msiba wa Komba uliwasifia walinzi wako.

Leo tena unawageuzia kibao walinzi wako, Dr.Slaa acha usanii.
 
Watawala wanahaha usiku huu kupotosha jambo hili baada ya siri za mipango yao kufichuka. Taarifa sahihi zinazohusu suala hili zitatolewa na chama katika hatua za baadae.

Makene
Unakumbuka baada ya incident ya soweto mbowe alisema ana ushahidi wa dvr kuhusu waliofanya milipuko ile? Hadi leo jii so tabia yenu ya kusema chama kitatoa taarifa kamili ama evidence baadae tumezizoea na tumezichoka waambie waajiri wako watafute mbinu mpya, am just a neutral Tanzanian giving an honest observation
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom