Mlinzi wa Dk. Slaa ashambuliwa

Mlinzi wa Dk. Slaa ashambuliwa

Status
Not open for further replies.
Vijana wa Nape wanajitahidi kweli kupotosha ukweli kuwa CHADEMA sasa intelligence yake ni kali kiasi kwamba hila za maccm walizozoea zinagonga mwamba sasa mwaka huu mtaona rangi zote. Mlimtegemea zzk mkakwama hata sasa maadamu Mungu yuko nasi mtakwama tu naam mmeshaanza kukwama tayari.

Mungu ibariki CHADEMA na Ilinde daima dhidi ya kila aina ya hila
 
Poor MACCM yani mnachonga deal za kijinga hivi?kwenye simu yake mwenyewe amjui Chadema wako vizuri kwenye usalama zaidi ya TISS?
 
Ndio hapo utaamini kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu. maCCM wana mbinu za kizamani sana alooo
 
Poor MACCM yani mnachonga deal za kijinga hivi?kwenye simu yake mwenyewe amjui Chadema wako vizuri kwenye usalama zaidi ya TISS?

Kamanda Izu watajulia wapi hawa wenye akili za kifisi
 
Kamanda Kova, kama unapitia huu uzi watume vijana wako pale Ufipa Makao Makuu ya Chadema wakamuokoe huyu mlinzi wa Dr.Slaa watamuawa hawa Bavicha.
 
Mlinzi wa Dk Slaa,Kangezi,muda huu yupo makao makuu ya CHADEMA,akiwa na hali mbaya baada ya kushambuliwa na kuanzia asubuhi kwa tuhuma za kutaka kumuwekea sumu bosi wake.

Kangezi alianza kupigwa kuanzia saa tatu asubuhi baada ya kuchukuliwa na walinzi wa Chama hicho na kupekuliwa nyumbani kwake kwa ajili ya kutafuta kitu kitakachomuhusisha na Nape,Mwigulu, Kinana na Mzee Mangula

Ikumbukwe Kangenzi licha ya kuwa msaidizi wa Karibu wa Dk. Slaa ndiye alikuwa akilipwa fedha kidogo za mshahara kiasi kisichozidi sh. 400000 kwa mwezi.

Unapotaka kutengeneza stori za kumpatia mtu kiki kwenye magazeti ya siasa usitumie mbinu za diamond na wema maaana wao stori zao huishia kwenye udaku na then wanaendeleza drama zao.
Kuzusha habari eti Dr. Slaa anataka kuuliwa na mlinzi wake ni kielelezo tosha kwamba chadema hawajui kulinda viongozi wao, sababu haiwezekani mtu mwenye kariba ya Dr Slaa akalindwa na mlinzi wa 400000/=. Yaaani haiwezekani na hainingiii akilini mtu mnae mwandaa kuwa Rais mkampatia ulinzi mwepesi na laini kama toilet paper.
Kwa kweli chama kimepoteza umakini juu ya namna gani kina wajibu wa kumlinda kiongozi wanayetaka agombee urais, kwa hili la mshahara wa laki nne chanzo cha uozo wa hayo yote ni ninyi wenyewe na wala sio serikali, wala sio CCM. Inshot mmejitekenya thn mkacheka wenyewe hahaaaaaa mazafantaz kamati yote ya ulinzi wa viongozi chadema and super gadem mburulaazzzz.

Pili dokta hana mvuto tena coz tayari kashapotezwa na Kinana, katika level ya makatibu wakuuu wa vyama vya siasa kwa sasa hakuna anayemfikia wala kumsogelea Kinana kwa kuhamasisha shughuli za maendeleo ya jamii na sio vurugu wala uchochezi.

Halafu huyu Slaa ni msaliti wa kanisa katoliki, kama alishindwa kulinda kiapo alichokula kanisani siku yake ya upadrisho ni dhahiri hata sisi wananchi hatufai kuna siku atatusaliti ,samahani sana kwa kuwakera wakereketwa wa CDM ila huu ndio ukweli Yesu alisema atakayenikana mbele za watu duniani nami nitamkana mbele ya baba yangu.
Laaana ya kusaliti kiapo cha kanisa katoliki huwa ni mbaya sana, lakini kibabu kikaona haitoshi kikaamua kuivunja amri ya tisa ya Mungu kwa kutamani mwanamke asiye mke wake na kumzini ahahaaaaa hivi chadema bado tu hamuoni huuuu uozo mnataka kumpamba huyo mzeee wenu. Kibaya zaidi alipokuwa padre alifungisha baaadhi ya ndoa huku akisema " alichokiunganisha Mungu mwanadam asikitenganishe"
Dr kaisha utamu, kwa sababu hakuna wa kumpa mabomu ya serikali kabaki chaliiii miguu juu, sio tu kusema alitaka kuliwa mpigeni na risasi kabisa kama papa hakuna wa kubabaika naye.

Kitendo cha kumteka mlinzi ni kielelezo tosha hamtaki kuheshimu utawala wa sheria,mnapenda kujichukulia sheria mkononi na kamwe hamuwezi kusadifu demokrasia mnayohubiri.
 
huu ni muendelezo wa ugaidi wa chadema,,jeshi la polisi inatakiwa liwahi makao makuu ya chadema ili kumuokoa huyu mlinzi wa dr.slaa ,vinginevyo red brigade watamuua.

we mwenyewe unamwonekano wa kigaidi!
 
Tell them man, kwanza usalama wahangaike na mstaafu kama slaa ili iweje? Mtu amepass hadi umri wa bible atahangaisha akil za nani? Cdm give us a break guys uwongo wenu umekuwa beyond ur candidate is like a written off item

Nyie vijana wa ccm wa ajabu kweli hata escrow mlitetea hivi hivi mwishowe watu wanakimbizwa mahakamani na baraza la maadili ni style yenu kutetea waovu.
Nyie ni hatari kwa mustakabali wa taifa letu au ndo kusaka ukuu wa wilaya kwa kujitoa ufahamu
 
Mlinzi wa Dr. Slaa akamatwa na kufungiwa makao makuu ya chadema akihojiwa makao makuu kwa tuhuma za kuzusha zisizokuwa na ukweli kuwa anatumiwa na usalama wa Taifa kuhusika kumuua Dr. Slaa ila siri kutoka kambi hiyo kumbe ni mbinu za mwenyekiti kuutaka Urais wa UKAWA lengo ni kupata kura za huruma kutoka kwa wananchi na tunapata mashaka na usalama wa Slaa sasa sijui kama Mbowe atamuacha salama kwenye vita hii ya urais .Ndugu zangu CHADEMA mtu anapopata tuhuma za kujaribu kuua anapelekwa mahakamani ili haki ipatikane ila sio kumfungia makao makuu.Hivi tujiulize usalama ukitaka kumuua Slaa unashindwa nini hadi wamtumie mlinzi wake?siasa hii chafu haitasaidia nchi.
 
Kamanda Kova, kama unapitia huu uzi watume vijana wako pale Ufipa Makao Makuu ya Chadema wakamuokoe huyu mlinzi wa Dr.Slaa watamuawa hawa Bavicha.
Kumbe ndio kazi ccm mnayofanya kuchukua kazi ya israeli
 
Naona vijana wa ccm mmekosa hoja kabisa

Nape juzi katamka chadema wanauwa
Kumbukeni tukiob la arusha baada ya Mwigulu kusema kauli yake siku ya pili Mkatuuwa

Leo mmeshindwaa
Poleni sana na UKWELI UTASHINDA TUU.
 
CHADEMA kwa inteligensia wako makini sana. Mlinzi nae ana mlinzi ambae ana walinzi etc

Lakini kwa kuwa MUNGU ndiye tegemeo letu hakika mbinu zozote hazitafua dafu
ni kweli mkuu hiyo ndio mbinu itayo ifikisha inchi ya ahadi!
 
Unapotaka kutengeneza stori za kumpatia mtu kiki kwenye magazeti ya siasa usitumie mbinu za diamond na wema maaana wao stori zao huishia kwenye udaku na then wanaendeleza drama zao.
Kuzusha habari eti Dr. Slaa anataka kuuliwa na mlinzi wake ni kielelezo tosha kwamba chadema hawajui kulinda viongozi wao, sababu haiwezekani mtu mwenye kariba ya Dr Slaa akalindwa na mlinzi wa 400000/=. Yaaani haiwezekani na hainingiii akilini mtu mnae mwandaa kuwa Rais mkampatia ulinzi mwepesi na laini kama toilet paper.
Kwa kweli chama kimepoteza umakini juu ya namna gani kina wajibu wa kumlinda kiongozi wanayetaka agombee urais, kwa hili la mshahara wa laki nne chanzo cha uozo wa hayo yote ni ninyi wenyewe na wala sio serikali, wala sio CCM. Inshot mmejitekenya thn mkacheka wenyewe hahaaaaaa mazafantaz kamati yote ya ulinzi wa viongozi chadema and super gadem mburulaazzzz.

Pili dokta hana mvuto tena coz tayari kashapotezwa na Kinana, katika level ya makatibu wakuuu wa vyama vya siasa kwa sasa hakuna anayemfikia wala kumsogelea Kinana kwa kuhamasisha shughuli za maendeleo ya jamii na sio vurugu wala uchochezi.

Halafu huyu Slaa ni msaliti wa kanisa katoliki, kama alishindwa kulinda kiapo alichokula kanisani siku yake ya upadrisho ni dhahiri hata sisi wananchi hatufai kuna siku atatusaliti ,samahani sana kwa kuwakera wakereketwa wa CDM ila huu ndio ukweli Yesu alisema atakayenikana mbele za watu duniani nami nitamkana mbele ya baba yangu.
Laaana ya kusaliti kiapo cha kanisa katoliki huwa ni mbaya sana, lakini kibabu kikaona haitoshi kikaamua kuivunja amri ya tisa ya Mungu kwa kutamani mwanamke asiye mke wake na kumzini ahahaaaaa hivi chadema bado tu hamuoni huuuu uozo mnataka kumpamba huyo mzeee wenu. Kibaya zaidi alipokuwa padre alifungisha baaadhi ya ndoa huku akisema " alichokiunganisha Mungu mwanadam asikitenganishe"
Dr kaisha utamu, kwa sababu hakuna wa kumpa mabomu ya serikali kabaki chaliiii miguu juu, sio tu kusema alitaka kuliwa mpigeni na risasi kabisa kama papa hakuna wa kubabaika naye.

Kitendo cha kumteka mlinzi ni kielelezo tosha hamtaki kuheshimu utawala wa sheria,mnapenda kujichukulia sheria mkononi na kamwe hamuwezi kusadifu demokrasia mnayohubiri.

Craaaaaaap!
Hoja less; out of context kabisa
 
Back
Top Bottom