Mwl. Kaijage
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 216
- 214
Mwigamba wa ACT-TANZANIA ana mvuto mkubwa kuliko huyu toilet paper wa Chadema Dr. Slaa, Slaa labda awe Rais wa vichaa
Unapotaka kutengeneza stori za kumpatia mtu kiki kwenye magazeti ya siasa usitumie mbinu za diamond na wema maaana wao stori zao huishia kwenye udaku na then wanaendeleza drama zao.
Kuzusha habari eti Dr. Slaa anataka kuuliwa na mlinzi wake ni kielelezo tosha kwamba chadema hawajui kulinda viongozi wao, sababu haiwezekani mtu mwenye kariba ya Dr Slaa akalindwa na mlinzi wa 400000/=. Yaaani haiwezekani na hainingiii akilini mtu mnae mwandaa kuwa Rais mkampatia ulinzi mwepesi na laini kama toilet paper.
Kwa kweli chama kimepoteza umakini juu ya namna gani kina wajibu wa kumlinda kiongozi wanayetaka agombee urais, kwa hili la mshahara wa laki nne chanzo cha uozo wa hayo yote ni ninyi wenyewe na wala sio serikali, wala sio CCM. Inshot mmejitekenya thn mkacheka wenyewe hahaaaaaa mazafantaz kamati yote ya ulinzi wa viongozi chadema and super gadem mburulaazzzz.
Pili dokta hana mvuto tena coz tayari kashapotezwa na Kinana, katika level ya makatibu wakuuu wa vyama vya siasa kwa sasa hakuna anayemfikia wala kumsogelea Kinana kwa kuhamasisha shughuli za maendeleo ya jamii na sio vurugu wala uchochezi.
Halafu huyu Slaa ni msaliti wa kanisa katoliki, kama alishindwa kulinda kiapo alichokula kanisani siku yake ya upadrisho ni dhahiri hata sisi wananchi hatufai kuna siku atatusaliti ,samahani sana kwa kuwakera wakereketwa wa CDM ila huu ndio ukweli Yesu alisema atakayenikana mbele za watu duniani nami nitamkana mbele ya baba yangu.
Laaana ya kusaliti kiapo cha kanisa katoliki huwa ni mbaya sana, lakini kibabu kikaona haitoshi kikaamua kuivunja amri ya tisa ya Mungu kwa kutamani mwanamke asiye mke wake na kumzini ahahaaaaa hivi chadema bado tu hamuoni huuuu uozo mnataka kumpamba huyo mzeee wenu. Kibaya zaidi alipokuwa padre alifungisha baaadhi ya ndoa huku akisema " alichokiunganisha Mungu mwanadam asikitenganishe"
Dr kaisha utamu, kwa sababu hakuna wa kumpa mabomu ya serikali kabaki chaliiii miguu juu, sio tu kusema alitaka kuliwa mpigeni na risasi kabisa kama papa hakuna wa kubabaika naye.
Kitendo cha kumteka mlinzi ni kielelezo tosha hamtaki kuheshimu utawala wa sheria,mnapenda kujichukulia sheria mkononi na kamwe hamuwezi kusadifu demokrasia mnayohubiri.
Itakuwa kafumaniwa tu kwa Josefina.
Semeni kweli.
Mwigamba ana mvuto wa usaliti nauchumia tumboMwigamba wa ACT-TANZANIA ana mvuto mkubwa kuliko huyu toilet paper wa Chadema Dr. Slaa, Slaa labda awe Rais wa vichaa
Umebadili ID au unatumia zote.Huu ni muendelezo wa ugaidi wa Chadema,,Jeshi la polisi inatakiwa liwahi makao makuu ya Chadema ili kumuokoa huyu mlinzi wa Dr.Slaa ,vinginevyo Red Brigade watamuua.
mlinzi wa dr. Slaa akamatwa na kufungiwa makao makuu ya chadema akihojiwa makao makuu kwa tuhuma za kuzusha zisizokuwa na ukweli kuwa anatumiwa na usalama wa taifa kuhusika kumuua dr. Slaa ila siri kutoka kambi hiyo kumbe ni mbinu za mwenyekiti kuutaka urais wa ukawa lengo ni kupata kura za huruma kutoka kwa wananchi na tunapata mashaka na usalama wa slaa sasa sijui kama mbowe atamuacha salama kwenye vita hii ya urais .ndugu zangu chadema mtu anapopata tuhuma za kujaribu kuua anapelekwa mahakamani ili haki ipatikane ila sio kumfungia makao makuu.hivi tujiulize usalama ukitaka kumuua slaa unashindwa nini hadi wamtumie mlinzi wake?siasa hii chafu haitasaidia nchi.
Kamanda Kova, kama unapitia huu uzi watume vijana wako pale Ufipa Makao Makuu ya Chadema wakamuokoe huyu mlinzi wa Dr.Slaa watamuawa hawa Bavicha.
Mwigamba wa ACT-TANZANIA ana mvuto mkubwa kuliko huyu toilet paper wa Chadema Dr. Slaa, Slaa labda awe Rais wa vichaa
Mlinzi wa Dr. Slaa akamatwa na kufungiwa makao makuu ya chadema akihojiwa makao makuu kwa tuhuma za kuzusha zisizokuwa na ukweli kuwa anatumiwa na usalama wa Taifa kuhusika kumuua Dr. Slaa ila siri kutoka kambi hiyo kumbe ni mbinu za mwenyekiti kuutaka Urais wa UKAWA lengo ni kupata kura za huruma kutoka kwa wananchi na tunapata mashaka na usalama wa Slaa sasa sijui kama Mbowe atamuacha salama kwenye vita hii ya urais .Ndugu zangu CHADEMA mtu anapopata tuhuma za kujaribu kuua anapelekwa mahakamani ili haki ipatikane ila sio kumfungia makao makuu.Hivi tujiulize usalama ukitaka kumuua Slaa unashindwa nini hadi wamtumie mlinzi wake?siasa hii chafu haitasaidia nchi.
Mwigamba wa ACT-TANZANIA ana mvuto mkubwa kuliko huyu toilet paper wa Chadema Dr. Slaa, Slaa labda awe Rais wa vichaa
Mkuu Schofild, nakushauri badili ilo jina kama unajinasibisha na jamaa wa Prison Break jamaa si rizki.Akili ndogo kama piriton
Kakojoe ulale
Atakuwa amepigwa na Godless Lema. Huyu jamaa namjua ni mtu mwema nilimuona daresalaam pale mlimani City ni mtu mzuri sana.
Kwakweli chadema ni wauaji wakubwa hawa.
mnatengeneza stoyry ya kwendea Oktoba hamna lolote nyie. Mwambieni na Mbowe aunganishe kwenye movie hii mhusika wa mabomu ya arusha.
Mbona alikushikisha ukuta mpaka ukataga na ulisahau viroba kwa mwezi mzimaMkuu Schofild, nakushauri badili ilo jina kama unajinasibisha na jamaa wa Prison Break jamaa si rizki.
mwigamba wa act-tanzania ana mvuto mkubwa kuliko huyu toilet paper wa chadema dr. Slaa, slaa labda awe rais wa vichaa
Unafikri wanawake wote wapo kama wewe?? sio wote wenye tabia za kiswahili. Usikurupuke FaizaFoxy
Mkuu Schofild, nakushauri badili ilo jina kama unajinasibisha na jamaa wa Prison Break jamaa si rizki.