Mlinzi wa Dk. Slaa ashambuliwa

Mlinzi wa Dk. Slaa ashambuliwa

Status
Not open for further replies.
FaizaFoxy;
Yaliyoujaza moyo ndio humtoka mtu kumbuka hilo. Kwa kuwa hayo ndo unayafanyaga kwa mwanaume wako huyo, ndo unaona hata huyo Josephine ndo anamfanyia Bwanake??
Usitangaze dau humu. Hata mleata hoja ameileta kuonesha kuwa kuna mtu anaonewa hivyo majibwa yenu yaende haraka kuokoa mtungi usivunjike watu wakajua kulikoni ndani. Poleni lakini, siku hizi watu wako macho, hawadanganyiki

= ndiyo

= unayafanya

= mwanamme

= mleta

Jaribu tena baadae...
 
Ni hatari sana haya mambo ya Benazir Bhuto wakamuua watu wake ili wapate kura ya huruma Bhuto akaonekana ameuliwa na Musharaf ndio haya ya sasa yanayotokea urais upo tu ila maisha lazima yaendelee
 
Invisible inasikitisha sana kutoweka comment ya Tumaini Makene kwenye thread hii pale juu na Tumaini Makene nimsemaji wa Chama. Hile hali comment ya Zitto mliweka haraka sana kwenye ile thread ya Greenwhich. Kama mnania na jf ni chombo chakupashana habari basi tubalance tarifa kwa usawa na uwazi. Changanyeni Comment ya Tumaini Makene kwenye hii thread. Asanteni

Chadema Kwanza
 
Mkuu umekosea sana tena uko verify I'd halafu kiongozi wa chama.

Sheria ya ushindani wowote ule ni lazima kumheshim mpinzani wako, ila kwa hapa kila anaekufahamu lazima asikitike.

Jisahihishe mkuu.!

Eti kiongozi wa chama makini huyo,afu anajiita "Mwalimu"!! Huku ni kudhalilisha taaluma ya Ualimu. Mwalimu anamihemko na hisia kuliko weledi!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom