Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,570
Nyie ndio vibaka mnaleta upotoshaji hapa
Upotoshaji unaletwa na wahuni wenzako wa ccm
Nyie ndio vibaka mnaleta upotoshaji hapa
Vibaka hawa hapaNyie ndio vibaka mnaleta upotoshaji hapa
itakuwa kafumaniwa tu kwa josefina.
Semeni kweli.
Kwa lipi zaidi? huyo itakuwa kuna lake na Josefina, babu na kalinzi kashabab. Utanambia.
Hapo sasa!
Vibaka hawa hapa
Slaa ni mzinzi labda alimpora mke wake
Kwa komenti kama hizi unajishushia heshima ndogo uliyobakiza baada ya kuboronga utetezi wa wezi wa pesa za escrow.Itakuwa kafumaniwa tu kwa Josefina.
Semeni kweli.
Hawa ni walinzi wa nchi na viongozi wa kesho. Gusa unate
Unafikri wanawake wote wapo kama wewe?? sio wote wenye tabia za kiswahili. Usikurupuke FaizaFoxy
FaizaFoxy wewe ni mtu unayeheshimika sana na CCM wenzako hapa jukwaani hasa team EL wenzako.Sasa unapotoa kauli za ovyo utasababisha hata wale wana-CCM wa kambi nyingine wenye ustaarabu wasijiunge na kambi yenu
umemaliza kila kitu .Laki 4 kwa mlinzi sio haba.
Kwani polisi wanalipwa shilingi ngapi?
Hakika chadema ni chama cha watesaji kabisa na ukute wana hisi tuu! Hivi Dr Slaa wamuwekee sumu kwa lipi? huku ni kujipa promo tuu!
Hii imetengenezwa kumpa kiki Slaa aonekane ni tishio..huyu mlinzi ana onewa bure anatakiwa akawafungulie mashitaka hao! Huu ni sawa na huaji kabisa!
Watawala wanahaha usiku huu kupotosha jambo hili baada ya siri za mipango yao kufichuka. Taarifa sahihi zinazohusu suala hili zitatolewa na chama katika hatua za baadae.
Makene