Mlinzi wa Dk. Slaa ashambuliwa

Mlinzi wa Dk. Slaa ashambuliwa

Status
Not open for further replies.
Naipenda CDM na intelijensia yake na sio ya ccm ni kwa ajili ya kuzuia maandamano yetu tuu
Walianza na zzk now mlinzi wa dr
Hatosailia hata mmoja

Ndio hii intelijensia ina teka watu?
 
Ukweli wa ili sakata anaujua Josephine.
 
CCM na wanatumia mbinu uovu sana kukwamisha ukombozi wa nchi yetu. Ritz na wengine mnaotetea uovu wa ccm mnarumiwa na shetani kuwa mawakala zake kutesa na kuuwa watz. kuweni na ufahamu japo kidogo. Chadema ni chama makini na imara sana. upuuzi wa ccm hauna nafasi mbele za Mungu aliyeishaamua ukombozi kwa Wat ni 2015 ni lazima.
 
Huyu mlinzi alisifiwa sana na suti yake nyeusi na wiwani ya plastic alivyoingia na Dr.Slaa msibani.

Teh Teh maskini sasa wamemteka na siri zisinge vuja wangeweza kumuua na wakasema ni CCM.
Nasikia hiyo miwani yake ni hile ya miatano ya watoto.

Aliye toboa hii siri amewaweza kweli maana walikuwa wana muua na kumtelekeza sehemu.
 
Yani tabia ya fisi nikula mizoga tuu naona natabia ya ccm nikula kinyesi cha chadema
 
Huu ni muendelezo wa ugaidi wa Chadema,,Jeshi la polisi inatakiwa liwahi makao makuu ya Chadema ili kumuokoa huyu mlinzi wa Dr.Slaa ,vinginevyo Red Brigade watamuua.
 
She twain mkubwa wewe.

swissme

Mkuu Swissme, usiargue na usimtukane bi Faiza Fox. Wote mtaonekana wajinga. Tutumie lugha safi tu. Huyo bibie anajidhalilisha wakati ni mwanamke.
 
CHADEMA mntafuta huruma za Wananchi October Mtapata 25% za josephne na Mume wake
 
Aliye toboa siri amesaidia sana maana jamaa alikuwa ana uwawa na watekaji!

Wana jisifu wana intelijensia lakini siri imevuja.
 
Huu ni muendelezo wa ugaidi wa Chadema,,Jeshi la polisi inatakiwa liwahi makao makuu ya Chadema ili kumuokoa huyu mlinzi wa Dr.Slaa ,vinginevyo Red Brigade watamuua.

Uzuri siri imevuja na alikuwa ana uwawa kabisa
 
Teh Teh maskini sasa wamemteka na siri zisinge vuja wangeweza kumuua na wakasema ni CCM.
Nasikia hiyo miwani yake ni hile ya miatano ya watoto.

Aliye toboa hii siri amewaweza kweli maana walikuwa wana muua na kumtelekeza sehemu.
Mungu ni mwema unazidi kujitaja tuu mnavyo fanyiaga watu huko ccm endelea tujue mengi
 
Watu wameishiwa sera zao za matukio sasa wanaanza kutafuta matukio ya kulazimisha.
 
CHADEMA kwa inteligensia wako makini sana. Mlinzi nae ana mlinzi ambae ana walinzi etc

Lakini kwa kuwa MUNGU ndiye tegemeo letu hakika mbinu zozote hazitafua dafu
 
utatoka ccm leo utaingia chadema na utapewa kazi hata makao makuu ila hutaweza kuleta madhara,tupo imara kuliko ikulu,kwanza Mungu mbele ndo yakwetu yanafuata
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom