Mlinzi wa Dk. Slaa ashambuliwa

Mlinzi wa Dk. Slaa ashambuliwa

Status
Not open for further replies.
Huko kupiga kiasi hicho sio sahihi kwani ni kinyume ha haki za binadamu. Cha msingi ilikuwa kumhoji ili kupata ukweli. Kwa mfano huyo mlinzi akikatika, maneno ya Nape juu ya red guard si yatakuwa yametimia juu ya ugaidi.
Hawana tofauti na watoa kucha.yule anahisiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Joaephine.na anamuweza kwa sababu ni mkagera mwenzie anajua kumtoa maji,sasa babu ana 78,presha na sukari zimepiga kambi hayo maji atamtoa saa ngapi josephine
 
Safari hii mpaka kitaeleweka yale makosa yaliyofanyika ktk uchaguzi wa 95 hayafanyiki tena mwaka huu,dume la mbegu lilishinda ule uchaguzi wa 95 lakini maccm walicheza mchezo wao wanaoujua na kubadilisha yale matokeo na kuonyesha wao ndio washindi,hata hili sakata kwa kutaka kumuua Dr Slaa ni wameisha gundua safari hii michezo yao haitofanya kazi na kikwazo kwao kikubwa ni Slaa hakuna jinsi ni kumtilia sumu ili afe na wabaki hawana genuine mpinzani wa sawa sawa.Kama ni kura za bure safari hii zimeisha waislam tayari tumeisha washtukia hawazioni tena kura zetu safari hii sijui ni kwanini watake kumuua Dr Slaa.Nawashauri watu wa cdm waanze kujipanga kuhusu ulinzi na usalama wa Dr wetu ili asidhuriwe na mijitu ya ccm halafu pia wasiruhusu mtu yeyote asiyejulikana kusogea karibu na Dr.Hii mijitu haiwezi kuachia madaraka kirahisi bila fight au kudhuru watu.Kama ni kura zetu waislam ndio yameisha zikosa,ccm tuliianzisha sisi wenyewe waislam tukaijenga kuanzia chama cha TAA mpaka TANU hadi ccm,na ni sisi wenyewe ndio tutaibomoa,tajua wengi hamtopenda maandishi yangu lakini ukweli ndio huo ,tutakivunja chama cha wahuni na wizi wa mali ya mtanzania. Mr.Murage.
 
Ben,

Hizi drama zenu tumezizoea Dr.Slaa hakuna mtu wa kutaka kumuawa mnatafuta hurumu kwa wananchi, bahati nzuri watanzania wameishawajua.

wewe mjinga chadema haina haja ya kupata huruma watanzania wenyewe wameamua kuipenda chadema,huruma ya nini mbwa sana wewe,mnataka kumuua jembe hamtaweza
 
Naiamini sana Chadema, namwamini sana Dr. Slaa na nina imani kubwa na Inteligensia ya CHADEMA, Tatizo kuna watu hawajui jinsi inteligensia hasa hawa walinzi wa viongozi wanavyofanya kazi, yaan nyuma ya huyo mlinzi kuna inteligence agents ambao ni invisible, hawa kazi yao kubwa ni kufuatilia nyendo za walinzi wa viongozi hawa, nahisi kuna kitu kimefanyika na kimegundulika kabla kwa msaada wa invisible security agents.
 
Na hakika watatafuta pa kuficha aibu yao baada ya mipango yao dhalimu kujulikana. Tuko imara na sawasawa kuliko wakati mwingine wowote.

mbona kila mwanachadema humu anasema mipango yao imefichuka ina maana kila mtu anajua kinachoendelea? Chadema naona mnatengeneza kitu kama bomu la arusha
 
Watawala wanahaha usiku huu kupotosha jambo hili baada ya siri za mipango yao kufichuka. Taarifa sahihi zinazohusu suala hili zitatolewa na chama katika hatua za baadae.

Makene
Mnataka kujifungia Ufipa mtengeneze drama, huyo mlinzi mnamtesa toka asubuhi mnasubiri nini kusema.
 
Hakika chadema ni chama cha watesaji kabisa na ukute wana hisi tuu! Hivi Dr Slaa wamuwekee sumu kwa lipi? huku ni kujipa promo tuu!

Hii imetengenezwa kumpa kiki Slaa aonekane ni tishio..huyu mlinzi ana onewa bure anatakiwa akawafungulie mashitaka hao! Huu ni sawa na huaji kabisa!

Na wewe Mwijage tumechoka na propaganda zako bwana!!
 
wewe mjinga chadema haina haja ya kupata huruma watanzania wenyewe wameamua kuipenda chadema,huruma ya nini mbwa sana wewe,mnataka kumuua jembe hamtaweza
Mbwa baba yako na mama yako waliokuzaa shika adabu yako punguani wewe.
 
Ben,

Hizi drama zenu tumezizoea Dr.Slaa hakuna mtu wa kutaka kumuawa mnatafuta hurumu kwa wananchi, bahati nzuri watanzania wameishawajua.

Wewe umetumwa kuja kupotosha baada ya kuona sasa hila zenu zimegonga mwamba eti Dr Slaa anatafuta huruma mlisema hivyo miaka 4 iliyopita mwaka jana tumewachapa serikali za mitaa na mwaka huu mtaona tutakavyowachapa endeleeni kujaribu kupotosha ukweli maana nyie ndo style zenu ndo maana hata bungeni kukiwa na mjadala muhimu na wenye maslahi Kwa wananchi mnamtumiaga Kibajaji na Nchambi kujaribu kupotosha nawe ni kibaraka wa upotoshaji hapa Jf.
 
Hivi utaratibu wa kuwapata walinzi wa viongozi wa chama unaanzia kule kwa wale vijana waliohitimu mafunzo juzi kati? Hahahahahaha. Make nikikumbuka zile suti nyeusi walizokuwa wamevaa na muwani mkubwa siku ya kuhitimu mafunzo, sina mbavu. Kwa jinsi mlivyokua mkijinasibisha na hao vibaka nikadhani kweli mmejipanga kumbe ushuzi mtupu. Sasa mnawapa mafunzo waje kuwaua viongozi wenu? Hahahahahaha.. sasa hao ndo mna imani nao kuwa wana uwezo wa kuwalindia kura?

Hawa ukiwapa viroba viwiliviwili wanakuachia masanduku ya kura, sure... hahahahahahahahahaha... chadema napenda(ga) sana maigizo yenu make mnanikumbusha(ga) mbali sana, enzi za KAOLE
 
Naiamini sana Chadema, namwamini sana Dr. Slaa na nina imani kubwa na Inteligensia ya CHADEMA, Tatizo kuna watu hawajui jinsi inteligensia hasa hawa walinzi wa viongozi wanavyofanya kazi, yaan nyuma ya huyo mlinzi kuna inteligence agents ambao ni invisible, hawa kazi yao kubwa ni kufuatilia nyendo za walinzi wa viongozi hawa, nahisi kuna kitu kimefanyika na kimegundulika kabla kwa msaada wa invisible security agents.

mnatengeneza stoyry ya kwendea Oktoba hamna lolote nyie. Mwambieni na Mbowe aunganishe kwenye movie hii mhusika wa mabomu ya arusha.
 
Safari hii mpaka kitaeleweka yale makosa yaliyofanyika ktk uchaguzi wa 95 hayafanyiki tena mwaka huu,dume la mbegu lilishinda ule uchaguzi wa 95 lakini maccm walicheza mchezo wao wanaoujua na kubadilisha yale matokeo na kuonyesha wao ndio washindi,hata hili sakata kwa kutaka kumuua Dr Slaa ni wameisha gundua safari hii michezo yao haitofanya kazi na kikwazo kwao kikubwa ni Slaa hakuna jinsi ni kumtilia sumu ili afe na wabaki hawana genuine mpinzani wa sawa sawa.Kama ni kura za bure safari hii zimeisha waislam tayari tumeisha washtukia hawazioni tena kura zetu safari hii sijui ni kwanini watake kumuua Dr Slaa.Nawashauri watu wa cdm waanze kujipanga kuhusu ulinzi na usalama wa Dr wetu ili asidhuriwe na mijitu ya ccm halafu pia wasiruhusu mtu yeyote asiyejulikana kusogea karibu na Dr.Hii mijitu haiwezi kuachia madaraka kirahisi bila fight au kudhuru watu.Kama ni kura zetu waislam ndio yameisha zikosa,ccm tuliianzisha sisi wenyewe waislam tukaijenga kuanzia chama cha TAA mpaka TANU hadi ccm,na ni sisi wenyewe ndio tutaibomoa,tajua wengi hamtopenda maandishi yangu lakini ukweli ndio huo ,tutakivunja chama cha wahuni na wizi wa mali ya mtanzania. Mr.Murage.
Mkuu kwa hiyo kura za Wakirsto Chadema ni zenu?
 
Ni mwendelezo wa kutafutana na kumalizana...ccm ndo zenu hii pia mlifeli.....

Baada ya DCI na jeshi la polisi kwa ujumla kukiri kuwa vifaawalivyowekewa wabunge wa upinzani yaani Wilbrod Slaa na Dr Ali Tarib Ali kwambani vinasa sauti vya kisasa swali kuu sasa ni kwanini CHUMBANI TENA KITANDANI?

hawa waheshimiwa wanamaofisi bila shaka, wana simu, wanamagari N.K lakini yeyote aliyelenga au kuchagua kuweka vinasa sauti chumbanitena kitandani alikuwa anataka nini?????

 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom