Inabidi watu wa usalama wa raia wawahi haraka sana, huyo kijana watamkuta marigio!
Wamefumania wapi?
Huko kupiga kiasi hicho sio sahihi kwani ni kinyume ha haki za binadamu. Cha msingi ilikuwa kumhoji ili kupata ukweli. Kwa mfano huyo mlinzi akikatika, maneno ya Nape juu ya red guard si yatakuwa yametimia juu ya ugaidi.
Itakuwa kafumaniwa tu kwa Josefina.
Semeni kweli.
Unafikri wanawake wote wapo kama wewe?? sio wote wenye tabia za kiswahili. Usikurupuke FaizaFoxy
Hii habari imenihuzunisha sana na kuharibia kabisa weekend.FaizaFoxy wewe ni mtu unayeheshimika sana na CCM wenzako hapa jukwaani hasa team EL wenzako.Sasa unapotoa kauli za ovyo utasababisha hata wale wana-CCM wa kambi nyingine wenye ustaarabu wasijiunge na kambi yenu
Laki 4 kwa mlinzi sio haba.
Kwani polisi wanalipwa shilingi ngapi?
FaizaFoxy wewe ni mtu unayeheshimika sana na CCM wenzako hapa jukwaani hasa team EL wenzako.Sasa unapotoa kauli za ovyo utasababisha hata wale wana-CCM wa kambi nyingine wenye ustaarabu wasijiunge na kambi yenu
Slaa ni mzinzi labda alimpora mke wake
Wasifanye style ya Ulimboka.Huu ni uonevu wa hali ya juu kama kuna ukweli, kwa nini asipelekwe kwenye vyombo husika?
baada ya lowasa kuona dr slaa ni tishio sasa anataka kumpa sumu
Nyongeza ya mshahara alikuwa anapewa na ccm, ametaja mipango yote ilivyoratibiwa vema
Unadhani alitaka kumpa sumu Dr. Slaa kwa kuwa alikuwa analipwa mshahara mdogo? Au kwa yeye kupewa mshahara mdogo ilikuwa rahisi kupokea mkwanja wa nje ili ampe sumu?Mlinzi wa Dk Slaa,Kangezi,muda huu yupo makao makuu ya CHADEMA,akiwa na hali mbaya baada ya kushambuliwa na kuanzia asubuhi kwa tuhuma za kutaka kumuwekea sumu bosi wake.
Kangezi alianza kupigwa kuanzia saa tatu asubuhi baada ya kuchukuliwa na walinzi wa Chama hicho na kupekuliwa nyumbani kwake kwa ajili ya kutafuta kitu kitakachomuhusisha na Nape,Mwigulu, Kinana na Mzee Mangula
Ikumbukwe Kangenzi licha ya kuwa msaidizi wa Karibu wa Dk. Slaa ndiye alikuwa akilipwa fedha kidogo za mshahara kiasi kisichozidi sh. 400000 kwa mwezi.
baada ya lowasa kuona dr slaa ni tishio sasa anataka kumpa sumu[/QUOTEKama ni njama za Lowasa basi zitakuwa zimefeli tayari
Vibaka na wahuni kama wewe wamejaa huko ccm
Kwa hiyo UKAWA mmesha mpitisha Slaa kuwa mgombea Urais?
Kwa hiyo UKAWA mmesha mpitisha Slaa kuwa mgombea Urais?