Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,466
Teh teh teh naona kamanda wa Bavicha anamwaga sera.
Sasa hawa ndiyo viongozi wa Bavicha wanataka watanzania wawape nchi watuongeza mnategemea nini.
Kumekucha.
Utajua mwenyewe!
Teh teh teh naona kamanda wa Bavicha anamwaga sera.
Sasa hawa ndiyo viongozi wa Bavicha wanataka watanzania wawape nchi watuongeza mnategemea nini.
Kumekucha.
Hahaha naona umenisahau mimi baba yako ndio maana unanita bavicha, uvccm ipo wapi nasikia lowasa kawagawa vipande vipande? Mbinu chafu tumezijua chadema nimpango wa MunguNyie viumbe wa ajabu sana Dr.Slaa kamfumania mlinzi wake nyie Bavicha mnataka kuligeuza ili suala liwe la kitaifa.
Jiandaeni kutoka ikulu october
Mlinzi wa Dr. Slaa akamatwa na kufungiwa makao makuu ya chadema akihojiwa makao makuu kwa tuhuma za kuzusha zisizokuwa na ukweli kuwa anatumiwa na usalama wa Taifa kuhusika kumuua Dr. Slaa ila siri kutoka kambi hiyo kumbe ni mbinu za mwenyekiti kuutaka Urais wa UKAWA lengo ni kupata kura za huruma kutoka kwa wananchi na tunapata mashaka na usalama wa Slaa sasa sijui kama Mbowe atamuacha salama kwenye vita hii ya urais .Ndugu zangu CHADEMA mtu anapopata tuhuma za kujaribu kuua anapelekwa mahakamani ili haki ipatikane ila sio kumfungia makao makuu.Hivi tujiulize usalama ukitaka kumuua Slaa unashindwa nini hadi wamtumie mlinzi wake?siasa hii chafu haitasaidia nchi.
Chadema ni kikundi cha watekaji kabisa mmepata mamlaka wapi ya kumshikilia mtu tena mna mpiga? Hivi ndio
mnajiandaa kuchukua nchi?
Bavicha hawasemi ukweli huyo mlinzi juzi kasifiwa kwenye msiba wa Komba, haya mambo ya ndani mkuu.Slaa awekewe sumu kw lipi jaman achen masihara nyie,mtu ana laana zake za kuibia kanisa huko mnatafuta nan mchawi saiv,mwambien akatubu kanisan.
Kwa mama yako mzaziInabidi watu wa usalama wa raia wawahi haraka sana, huyo kijana watamkuta marigio!
Wamefumania wapi?
Mlinzi wa Dr. Slaa akamatwa na kufungiwa makao makuu ya chadema akihojiwa makao makuu kwa tuhuma za kuzusha zisizokuwa na ukweli kuwa anatumiwa na usalama wa Taifa kuhusika kumuua Dr. Slaa ila siri kutoka kambi hiyo kumbe ni mbinu za mwenyekiti kuutaka Urais wa UKAWA lengo ni kupata kura za huruma kutoka kwa wananchi na tunapata mashaka na usalama wa Slaa sasa sijui kama Mbowe atamuacha salama kwenye vita hii ya urais .Ndugu zangu CHADEMA mtu anapopata tuhuma za kujaribu kuua anapelekwa mahakamani ili haki ipatikane ila sio kumfungia makao makuu.Hivi tujiulize usalama ukitaka kumuua Slaa unashindwa nini hadi wamtumie mlinzi wake?siasa hii chafu haitasaidia nchi.
watawala wanahaha usiku huu kupotosha jambo hili baada ya siri za mipango yao kufichuka. Taarifa sahihi zinazohusu suala hili zitatolewa na chama katika hatua za baadae.
Makene
Sasa mwehu kama wewe kweli ndiyo kiongozi wa Bavicha.Hahaha naona umenisahau mimi baba yako ndio maana unanita bavicha, uvccm ipo wapi nasikia lowasa kawagawa vipande vipande? Mbinu chafu tumezijua chadema nimpango wa Mungu
Nyie viumbe wa ajabu sana Dr.Slaa kamfumania mlinzi wake nyie Bavicha mnataka kuligeuza ili suala liwe la kitaifa.
Mlinzi wa Dk Slaa,Kangezi,muda huu yupo makao makuu ya CHADEMA,akiwa na hali mbaya baada ya kushambuliwa na kuanzia asubuhi kwa tuhuma za kutaka kumuwekea sumu bosi wake.
Kangezi alianza kupigwa kuanzia saa tatu asubuhi baada ya kuchukuliwa na walinzi wa Chama hicho na kupekuliwa nyumbani kwake kwa ajili ya kutafuta kitu kitakachomuhusisha na Nape,Mwigulu, Kinana na Mzee Mangula
Ikumbukwe Kangenzi licha ya kuwa msaidizi wa Karibu wa Dk. Slaa ndiye alikuwa akilipwa fedha kidogo za mshahara kiasi kisichozidi sh. 400000 kwa mwezi.
Bavicha hawasemi ukweli huyo mlinzi juzi kasifiwa kwenye msiba wa Komba, haya mambo ya ndani mkuu.
Nenda Ufipa utapata ukweli.Ulikuwepo?
sasa mwehu kama wewe kweli ndiyo kiongozi wa bavicha.
Teh teh teh