Mlinzi wa Dk. Slaa ashambuliwa

Mlinzi wa Dk. Slaa ashambuliwa

Status
Not open for further replies.
Kama ni kweli basi Chadema wana intellijensia kama ya MOSSAD,, mie nilihisi kuwa ni lazima atafutwe kiongozi wa upinzani tishio auwawe ili kubalance kifo cha komba....CCM mnaipeleka nchi kwenye machafuko..
 
CHADEMA kulishana sumu ni kawaida, hata Zitto aliponea chupuchupu
 
hivi wewe si unajua history ya penzi la babu msaliti wa kanisa na mkewe na josephine alipo mkimbia mumewe kwa mbwembwe za kutaka kuwa first ledy wa chama...

josephine ni kama wanawake wengine wenye tabia za joka la mdimu tu.

usirudie tena kututukana wazee wa uswazi nyani ngabu we.

Jifunze kuandika vizuri ndio uje na hizo hoja zako dhaifu ngumbaru wa mwisho wewe
 
"majungu"???

vijana wa chadema hapo ndio mna nichosha

badala ya kukanusha au kukubali taarifa ya mleta mada unasema eti majungu


mlete mada kasema toka saa Moja mme mshikilia mlinzi wa aliye kua Padri Dr slaa

mimi nmetoa angalizo tu kumshikilia mtu kinyume na matakwa yake ni kinyume cha sharia wew unasema ni majungu

SMDH

Sasa si ungesubiri taarifa kabla hujahitimisha?Na hakuna mahali ulikosema ni tahadhari.Una maslahi gani na tukio/habari hii?


You're beyond redemption...!
 
Kama ni kweli basi Chadema wana intellijensia kama ya MOSSAD,, mie nilihisi kuwa ni lazima atafutwe kiongozi wa upinzani tishio auwawe ili kubalance kifo cha komba....CCM mnaipeleka nchi kwenye machafuko..
Chadema ni watu wa matukio, kwa hiyo mumeanza kutengeneza muvi nyingine ili mseme ni CCM au serikali.
 
Sasa si ungesubiri taarifa kabla hujahitimisha?Na hakuna mahali ulikosema ni tahadhari.Una maslahi gani na tukio/habari hii?


You're beyond redemption...!

hii taarifa unayosema isubiriwe inatoka wapi? au ndo mnaipika?
 
Sasa si ungesubiri taarifa kabla hujahitimisha?Na hakuna mahali ulikosema ni tahadhari.Una maslahi gani na tukio/habari hii?


You're beyond redemption...!



I don't need your so called "redemption'"
 
Kama ni kweli basi Chadema wana intellijensia kama ya MOSSAD,, mie nilihisi kuwa ni lazima atafutwe kiongozi wa upinzani tishio auwawe ili kubalance kifo cha komba....CCM mnaipeleka nchi kwenye machafuko..

Elimination method 'll never work out this time around.
 
Ritz,

Una haraka gani kaka?

Subiri aibu mtakayoipata .Mna roho za ajabu sana sana
Ben,

Hizi drama zenu tumezizoea Dr.Slaa hakuna mtu wa kutaka kumuawa mnatafuta hurumu kwa wananchi, bahati nzuri watanzania wameishawajua.
 
Last edited by a moderator:
Mlinzi wa Dk Slaa,Kangezi,muda huu yupo makao makuu ya CHADEMA,akiwa na hali mbaya baada ya kushambuliwa na kuanzia asubuhi kwa tuhuma za kutaka kumuwekea sumu bosi wake.

Kangezi alianza kupigwa kuanzia saa tatu asubuhi baada ya kuchukuliwa na walinzi wa Chama hicho na kupekuliwa nyumbani kwake kwa ajili ya kutafuta kitu kitakachomuhusisha na Nape,Mwigulu, Kinana na Mzee Mangula

Ikumbukwe Kangenzi licha ya kuwa msaidizi wa Karibu wa Dk. Slaa ndiye alikuwa akilipwa fedha kidogo za mshahara kiasi kisichozidi sh. 400000 kwa mwezi.

Slaa ni mnyonyaji na dhumati sana. Mtu anaye risk maisha yake kukulinda unamlipa hela ndogo ivo?
 
Na hakika watatafuta pa kuficha aibu yao baada ya mipango yao dhalimu kujulikana. Tuko imara na sawasawa kuliko wakati mwingine wowote.

Inatia faraja sana kuona chama kinaendekelea kuimarika kwa kukamata wahalifu wanaotumika kurudusha nyuma mageuzi haya.
Kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu kina Zitto walidhani watafanikisha kuua chadema sasa wamekufa wao kisiasa wamebaki kuzulumiana tu na kusaidiwa na msajili kwa maslahi ya ccm.

Viva CHADEMA
 
Ben,

Hizi drama zenu tumezizoea Dr.Slaa hakuna mtu wa kutaka kumuawa mnatafuta hurumu kwa wananchi, bahati nzuri watanzania wameishawajua.
bila shaka yule aliyetaka kumuua Zitto kwa uzoefu wake naye atakuwa anahusika hapa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom