Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,302
- 9,812
Eti! kapigwa kisa alitaka kumtiiiia Josephine mke wa padri CHADEMA hawana huruma kwakweli!
Aisifuyo mvua ya fumanizi imemnyeaItakuwa kafumaniwa tu kwa Josefina.
Semeni kweli.
Naomba uhifadhi maneno haya Kam chadema wakienda ikulu nitajitoa Jf! Hakuna mwananchi wa kuwapeleka watekaji ikulu.
Kwa lipi zaidi? huyo itakuwa kuna lake na Josefina, babu na kalinzi kashabab. Utanambia.
Hapo sasa!
Teh TehBavicha hawasemi ukweli huyo mlinzi juzi kasifiwa kwenye msiba wa Komba, haya mambo ya ndani mkuu.
Kweli mimi ni mwehu wakushugulikia mafisi kama wewe nawenzako mliokosa chembe ya aibu kwenye nchi hiiSasa mwehu kama wewe kweli ndiyo kiongozi wa Bavicha.
teh teh teh
na hakika watatafuta pa kuficha aibu yao baada ya mipango yao dhalimu kujulikana. Tuko imara na sawasawa kuliko wakati mwingine wowote.
Bavicha hawasemi ukweli huyo mlinzi juzi kasifiwa kwenye msiba wa Komba, haya mambo ya ndani mkuu.
Acha propaganda hakuna upuuzi kama huo ndani ya Chama makini kama Chadema
usi ishie kujitoa tu jf...jiandae kukimbia na nchi maana tuta wanyonga magamba wote!
Teh Teh
Ritz umenikumbusha walivyo msifia huyo mlizi leo kawa mbaya!
Wanacho ni shangaza ni kumteka mtu na kumtesa
.hiki ni kikundi cha utesaji.
naona chadema wanakuja na drama ingine tena mpyb kutafuta huruma kwa watanzania.
Dr.slaa ulikuja na drama uchaguzi uliopita kuwa usalama wa taifa wanataka kukuawa, watanzania wakakupuuza .
Juzi kwenye msiba wa komba uliwasifia walinzi wako.
Leo tena unawageuzia kibao walinzi wako, dr.slaa acha usanii.
Kwa wazoefu wa JF ID za TISS zinajulikana huwa ziko idle zinasubiri matukio kama haya.Hahahah afu wanalialia eti kuna strange ids watu tuna kazi zetu na majukumu kibao muda wa kushinda jf kama bavicha hatuna bt we been here for so long cdm punguzeni drama za kitoto tumewachokaa
Huyu mlinzi alisifiwa sana na suti yake nyeusi na wiwani ya plastic alivyoingia na Dr.Slaa msibani.Teh Teh
Ritz umenikumbusha walivyo msifia huyo mlizi leo kawa mbaya!
Wanacho ni shangaza ni kumteka mtu na kumtesa
.hiki ni kikundi cha utesaji.
Bavicha hawasemi ukweli huyo mlinzi juzi kasifiwa kwenye msiba wa Komba, haya mambo ya ndani mkuu.
Bavicha hawasemi ukweli huyo mlinzi juzi kasifiwa kwenye msiba wa Komba, haya mambo ya ndani mkuu.