Mlinzi Suma JKT ajiua kwa kujipiga risasi shingoni

Nawaza tu kuna baadhi hapa mnasema stress juu ya mshahara mdogo nk.

What about jobless? Mmefikiria japo na upande huu, how do they feel??

Izi mambo sio za kufagilia kabisa, kujitoa uhai kizembe damn!!

Mtoto wa kiume ni kugangamanya vijana acheni hizi mambo kabisa.

Nikawaza vile life’s good. Afu huku kuna watu wanajitoa uhai damn useless kabisa

Give me a break!!

Mungu atuepushe na ujinga huu wa kifkra
Mkuu tema mate chini.
 
Kwa kweli kwa haki ya maisha ya ubepari kama huna Mungu ndani yako au mental na psychological calmness unaweza kufanya vitu ambavyo watu watakuona hauna akili kumbe mwisho wako wa kufikiri ndipo ulipoishia.

Unaweza in au kusikia watu mliokuwa nao shuleni au kambini washatoboa. Au unaenda maeneo kama Mlimani ukiona jinsi vijana au watu wanavyospend unaweza kujisonya sana.

Ktk nchi za Ulaya na US suicide na kuuana cases ni nyingi koz ubepari umekomaa. Sitamani tufike huko lakini kwa hali ilivyo ni kama vile safari imekaribia.

Zamani mtu akijinyonga inakuwa taabu kila mtaa utajua au kusimulia kwa mwili na mawiki ila Sasa imekuwa kawaida na sababu ni nyingi kuanzia maisha, mapenzi, kazi, kukataliwa, Kukosa tumaini, Kukosa Mali, kudharauriwa, masomo, kubakwa, kushindwa kuhimili tatizo nk.

Hivi karibu kuna kijana wa hapa Stend ya Magufuri wale wanaoshika chati za magari naye kajinyonga kwa sababu ya mapenzi. Mke wake alikuwa anamsumbua jamaa sana.
Kaka haya maisha ukiwa na roho ndogo ni shida.

Shida inakuja wengine changamoto kazi tuweze kujimudu na familia zetu za kimaskini wengine changamoto mapenzi daaahh haya mambo yanafikirisha sana.
 
Kwa kweli kwa haki ya maisha ya ubepari kama huna Mungu ndani yako au mental na psychological calmness unaweza kufanya vitu ambavyo watu watakuona hauna akili kumbe mwisho wako wa kufikiri ndipo ulipoishia.

Unaweza in au kusikia watu mliokuwa nao shuleni au kambini washatoboa. Au unaenda maeneo kama Mlimani ukiona jinsi vijana au watu wanavyospend unaweza kujisonya sana.

Ktk nchi za Ulaya na US suicide na kuuana cases ni nyingi koz ubepari umekomaa. Sitamani tufike huko lakini kwa hali ilivyo ni kama vile safari imekaribia.

Zamani mtu akijinyonga inakuwa taabu kila mtaa utajua au kusimulia kwa mwili na mawiki ila Sasa imekuwa kawaida na sababu ni nyingi kuanzia maisha, mapenzi, kazi, kukataliwa, Kukosa tumaini, Kukosa Mali, kudharauriwa, masomo, kubakwa, kushindwa kuhimili tatizo nk.

Hivi karibu kuna kijana wa hapa Stend ya Magufuri wale wanaoshika chati za magari naye kajinyonga kwa sababu ya mapenzi. Mke wake alikuwa anamsumbua jamaa sana.
😥😥😥
 
Wazee hili laifu sio poa hasa ukiwa mzaliwa wa kwanza...kwa kifupi mimi pia napita hardtime sana

Sina kazi (jobless)

Kodi yangu inaisha December (kichwa kinauma machozi yanatoka)

Umri umesogea miaka 26 mates wenzangu wengi wana maisha na darasani nilikuwa bora kuliko wao.nimeomba makazi ya majeshi yote mwaka jana mpka nimekataa tamaa

Kula yangu mzozo,unaumwa ila unapona kwa nguvu za Mungu...

Kushinda week mfukoni huna mia ni kawaida

Kwa kifupi depression is real ukiona unaaamka unakula unavaa mshukuru Mungu

Mungu anisaidie nivuke salama nakiri sometimes najifikiriaga sana kujipoteza(kujitoa uhai) sema namuonea huruma mama na madogo zangu.
Pambana ww hela zipo na sio lazima uajiliwe
 
Kuna ATM nilienda kutoa pesa ilikuwa muda wa mchana, wakati naondoka mmoja wa Askari Polisi aliyekuwa lindo na silaha ambapo dirisha lao linaangaliana na mashine za ATM akaniita akaniomba pesa, nilicheka kwa usalama wangu nikampa 10,000 nikaondoka nikajisemea sitokaa niende tena kwenye hiyo ATM kutoa pesa, nitakwenda kwwnye atm zingine.
 
Kijana aliyejiua, akamatwe na kupelekwa mahakamani kwa kosa la kuua!
20221016_165833.jpg
 
Mshahara Tsh.120,000.
Mshahara kisanga kazi roho mkononi anytime unakufa anytime unafukuzwa kazi anytime unabambikwa kesi isiyokuhusu kisha unafukuzwa kazi, full depression sasa ukifikiria msoto wa mtaani ulivyo na mshahara ulikua unapata kiduchu ila ulikua unakomaa tu kibishi, shotgun ipo wapi unaingia nayo ndani taratibu unafunga mlango unapiga sala/dua zako za mwisho puuuuuu
 
Back
Top Bottom