Mlinzi Suma JKT ajiua kwa kujipiga risasi shingoni

Maisha ya sasa yanastress sana. Mtu asipokuwa na safe zone yake na watu wake wa kumpa social support na security muda wowote kwa tatizo lolote mtu anapokosa msaada ndio ile unasikia kafanya mambo ya ajabu.

Huu mfumo wa sasa sio mfumo ambao waafrika wamezoea kuishi maana hatupo compatible nao. Sisi tunaishi kijamii zaidi. Hatuachani kiasi hicho.
Uko sahihi kabisaa. Huu mfumo wa kila mtu na lwake ni mbaya. Siku hizi hata kutembeleana imekuwa changamoto. Mambo mengi mnamaliza ktk simu. Na hata mkikutana aiyenacho hathaminiki. Inapelekea kila kuweka nguvu kutafuta pesa ili apate furaha kwa sababu maishabya sasa bila pesa huna furaha na hupewi furaha na yeyote.
Hivyo, mtu akipitia changamoto hawezi sema kwa sababu hawezi kuwaambia changamoto watu anaoamini wanadharau. Hivyo, huamua kujitoa uhai.b
 
Dah nimekumbuka hao Suma jkt waliwahi kunibananisha eti kisa nimewasalimia kwa namna ya vijana wa kisasa wanavyosalimiana...
"Oy wanangu mambo vipi"
Eh bwana we wakaitana wakanizingira na kuanza kuniuliza oy kwa hiyo we chalii hivi unaweza kuwa na watoto Kama sisi?
Nikiwaangalia Wana 23 -26 hivi miaka yao kipindi hicho mi nna 21 hivi.
Walichonishangaza Ni kushindwa kunijibu kishkaji yaani ""POA mwanetu vipi harakati"
Sema Nini Poa tu one day nami nitakua waziri wa fedha.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Nilikutana nao msimbazi B hapo kariakoo. Tuko katika kuwai magari. Foleni ni kubwa. Unampa tiketi anakata anaweka ktk dustbin au unaenda nayo. Msongamano ni mkubwa nimetoka kulipa nikaona kwa kuwa anaweka ktk dustbin basi ni rahisishe zoezi. Nikafika pale, ile nampa kabla hajapokea ikiwa nusu mkononi mwake na nusu kwangu nikaifanya ichanike. Aisee...yule dogo akasimama amekasisrika. Akasema serikali imeniweka hapa kwa ajili ya kuchana na wewe unafanya kazi yangu hapa hupiti.

Nikamwambia hiyo tiketi haina makosa tuangalie tarehe. Akasema inshu siyo makosa ya tiketi. Inshu unachanaje tiketi na Mimi Niko hapa. Nikaa ktk foleni ktk lane moja watu hawapiti. Ikawa utata. Suma wakaongezeka. Wakaja wawili wengine. Ikataka kuwa vurugu. Nikamwambia yule jamaa kuwa ktk umri mdogo wa ujana kama vile kwa nini ana complicate mambo na sisi ni vijana tunaweza kukutana sehemu yyte. Ohhh...ni kawa nimemwagia moto petrol. Mwishowe nikalipa 650 tena ili kuingia.

Inshort nilikuwa na makosa. Sikuruhusiwa kuchana Mimi ila jinsi walivyorespond sasa naelewa kwanini.
 
Mkuu tema mate chini.

Mungu mwenyezi mtukufu

Hajatuleta dunia tujidhulumu nafsi zetu.

Tuswali sana na kuomba Rehma kwake Mtukufu Mwenyezi

Aliyeidhulumu nafsi analake la kujibu, kikubwa kuwa karibu na Mwenyezi Mungu.

Haijalishi unapitia hali gani au madhila yepi,

“AMESEMA MOLA MWENYEZI, NIOMBENI NAMI NITAWAJIBU”
 
Duh wakorofi sema Nini kwa saikolojia ya kijeshi ya kuitikia ndio kwa kila Jambo, kuwa kinyume na wanavyokuamuru hupata hisia za kudharaulika.
Hivyo majibu yao huwa Ni ubabe hasa wakihisi watakushindwa kimwili watakutishia silaha.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Mungu mwenyezi mtukufu

Hajatuleta dunia tujidhulumu nafsi zetu.

Tuswali sana na kuomba Rehma kwake Mtukufu Mwenyezi

Aliyeidhulumu nafsi analake la kujibu, kikubwa kuwa karibu na Mwenyezi Mungu.

Haijalishi unapitia hali gani au madhila yepi,

“AMESEMA MOLA MWENYEZI, NIOMBENI NAMI NITAWAJIBU”
Ukumbusho mzuri kaka
 
Back
Top Bottom