Mlimcheka Kikwete; wengine hawa...sijui tutasingizia nini !!

Mlimcheka Kikwete; wengine hawa...sijui tutasingizia nini !!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,209
Reaction score
44,271
100_1741.JPG


2cp4020.jpg

(Hii ni ya mwaka 2007; Ref - https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/6087-maskini-rais-wanguuu.html )

Miye sitaki kusema lakini labda tatizo ni kubwa zaidi...
 
sijaelewa hata kidogo ufafanuzi tafadhali.

1. kikwete alichekwa kwa lipi?
2. na kwa hili nini lengo lake?
 
TPSF
NMB
zote zimesheheni wasimu wa ndani na nje ya nchi na wanalipwa mamilioni.

This country has gone to the dogs
 
Hiyo ilitakiwa kusomeka - Two hundred eighty six million nine hundred thousand only, mimi ni mhandisi lakini naamini kihasibu hakuna mambo ya kuweka &, hata neno 'and' kwenye amount in words halitakiwi.
 
Kha!! Hii ndio nini sasa, hasa hapo kwenye kuandika kiasi cha pesa kwa namba.
 
watu wengi sana sehemu mbalimbali hawapo serious na kazi,watanzania tuamke mi nimeenda mahali pa dogo 2 waiter mkenya,mi nafikiri mentality na seriousness ye2 sa nyingine inatukosesha kazi na maendeleo maana serikali itatakiwa itusaidiaje!?
 
sijaelewa hata kidogo ufafanuzi tafadhali.

1. kikwete alichekwa kwa lipi?
2. na kwa hili nini lengo lake?
.
Mkuu ntamaholo anachomaanisha Mzee Mwanakijiji ni hiki hapa!

Angalia Maandishi ya Thamani ya Cheki na Tarakimu (Namba) ... Je Thamani halisi ya Cheki ni Sh ngapi?


2cp4020.jpg


Angalia na Hii hapa chini​

100_1741.JPG


Alafu ... ongezea na hii hapa chini!

url


 
JK's quench for cheap and useless popularity often than not expose him on -ves. However, he's no will or ability to correct that.
 
Jamaa yetu aishi kudanganywa,hayuko makini hata kidogo.Sasa madudu mangapi anategeshewa kule ambako kila siku anaenda kutalii?
 
mbona figure na words zinatofautiana mkuu kwenye cheque?
 
Naikumbuka ile sinema ya Bushman ya "God must be crazy"! (naongeza in TZ)
 
Siku zote, picha ni best representation ya mhusika. Ndiyo maana watu hujitahidi kupiga picha ambayo itatoa taswira ya kweli.....Hii ndiyo best representation ya wakuu wetu!!
 
mbona hundi ya exim figure na words zinatofautiana mkuu?
 
Back
Top Bottom