Hawa ndio top fans wa jamii sport 2023 na sifa zao

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,783
24,215
Kama ilivyoada mwishoni mwa mwaka ...Leo nawaletea best perfomer wa jukwaa la michezo na sifa zao Kwa mwaka huu 2023

1. Kalpana ...24 hrs yupo kwenye jf sports...sijui anapika saa ngap japo alipoteaga Baada kichapo Cha 5...0
2. Scars ...hawa ndo wazee wa kuanzisha thread za michezo

3. Nifah .. ameupiga mwingi jukwaa la michezo
4. NALIA NGWENA .... Mzee wa kuanzisha thread 300 per hr

5. SAGAI GALGANO ...Simba ikifungwa analeta thread za mangungu ajiuzulu

6 Lupweko ... kijana yupo zaidi jukwaa la michezo zaidi kuliko jukwaa zingine
7. Smart AJ ...Mzee wa ngoja wengine waje ....rafiki yake na Antonia
8. Tate Mkuu ....rafiki yake na Kalpana
9.@Lambardi ... mwamba kaupiga mwingi jukwaa la michezo
10. Kilimbatz ....most appeared member in 2023
11. cocastic .....kolo Lia Lia mwenye emojis nyingi za vicheko hapa jf...hata akitukanwa

Interlacustrine R ....mwamba mwenye comment ndefu inayotaja majina ya wansimba

mbinguni kwetu ... ameupiga mwingi mwaka 2023
Majok majok ...mwamba mwenye mpira wake

NB ni hao tu Kwa mwaka 2023 based their rating for the appearance in jamii spots
 
Asante sana Chifu, nimeskia Makolokolo wanajiandaa kuandamana kwa jinsi ninavyowakera kiutani, kizuri zaidi Mama yao (Mke wangu) ni Makolokolo halisi na nampenda sana...
 
..
JamiiForums1381953234.jpg
 
Lupweko lini alikua kijana?
Kama ilivyoada mwishoni mwa mwaka ...Leo nawaletea best perfomer wa jukwaa la michezo na sifa zao Kwa mwaka huu 2023

1. Kalpana ...24 hrs yupo kwenye jf sports...sijui anapika saa ngap japo alipoteaga Baada kichapo Cha 5...0
2. Scars ...hawa ndo wazee wa kuanzisha thread za michezo

3. Nifah .. ameupiga mwingi jukwaa la michezo
4. NALIA NGWENA .... Mzee wa kuanzisha thread 300 per hr

5. SAGAI GALGANO ...Simba ikifungwa analeta thread za mangungu ajiuzulu

6 Lupweko ... kijana yupo zaidi jukwaa la michezo zaidi kuliko jukwaa zingine
7. Smart AJ ...Mzee wa ngoja wengine waje ....rafiki yake na Antonia
8. Tate Mkuu ....rafiki yake na Kalpana
9.@Lambardi ... mwamba kaupiga mwingi jukwaa la michezo
10. Kilimbatz ....most appeared member in 2023
11. cocastic .....kolo Lia Lia mwenye emojis nyingi za vicheko hapa jf...hata akitukanwa

Interlacustrine R ....mwamba mwenye comment ndefu inayotaja majina ya wansimba

mbinguni kwetu ... ameupiga mwingi mwaka 2023
Majok majok ...mwamba mwenye mpira wake

NB ni hao tu Kwa mwaka 2023 based their rating for the appearance in jamii spots
Huu uzi hauwezi kukamilika bila mhasibu feki kutajwa kwenye hiyo orodha.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Bilq

1. Kalpana ...24 hrs yupo kwenye jf sports...sijui anapika saa ngap
emoji23.png
emoji23.png
japo alipoteaga Baada kichapo Cha 5...0
2. Scars ...hawa ndo wazee wa kuanzisha thread za michezo

3. Nifah .. ameupiga mwingi jukwaa la michezo
4. NALIA NGWENA .... Mzee wa kuanzisha thread 300 per hr
emoji23.png

5. SAGAI GALGANO ...Simba ikifungwa analeta thread za mangungu ajiuzulu
emoji23.png

6 Lupweko ... kijana yupo zaidi jukwaa la michezo zaidi kuliko jukwaa zingine
7. Smart AJ ...Mzee wa ngoja wengine waje ....rafiki yake na Antonia
8. Tate Mkuu ....rafiki yake na Kalpana
emoji23.png

9.@Lambardi ... mwamba kaupiga mwingi jukwaa la michezo
10. Kilimbatz ....most appeared member in 2023
11. cocastic .....kolo Lia Lia mwenye emojis nyingi za vicheko hapa jf...hata akitukanwa
emoji23.png

Interlacustrine R ....mwamba mwenye comment ndefu inayotaja majina ya wansimba

mbinguni kwetu ... ameupiga mwingi mwaka 2023
Majok majok ...mwamba mwenye mpira wake

NB ni hao tu Kwa mwaka 2023 based their rating for the appearance in jamii spot

Huu uzi hauwezi kukamilika bila mhasibu feki kutajwa kwenye hiyo orodha.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hahahaha hahaaaaaaaaaaaa.
 
Usingenitaja usingelala...
Nakukubali sana Utowizard Labani og
Ni kweli mimi na Tate Mkuu hatugombani japo ni mahasimu wa jadi.... 😆
Kuhusu kupika usijali familia inakula kwa wakati....
Sijawahi kupotea bana yani 5 za kishirikina zinipoteze humu...ur not serious.. 😆
 
Yupo member amesahaulika kwenye huu uzi, huwa anaongoza kupigwa BAN kila baada ya miezi miwili . Anaongoza pia kwa kuwa na ID nyingi humu

Simtaji kwa sababu jamaa anapenda sana misifa.
 
Kama ilivyoada mwishoni mwa mwaka ...Leo nawaletea best perfomer wa jukwaa la michezo na sifa zao Kwa mwaka huu 2023

1. Kalpana ...24 hrs yupo kwenye jf sports...sijui anapika saa ngap japo alipoteaga Baada kichapo Cha 5...0
2. Scars ...hawa ndo wazee wa kuanzisha thread za michezo

3. Nifah .. ameupiga mwingi jukwaa la michezo
4. NALIA NGWENA .... Mzee wa kuanzisha thread 300 per hr

5. SAGAI GALGANO ...Simba ikifungwa analeta thread za mangungu ajiuzulu

6 Lupweko ... kijana yupo zaidi jukwaa la michezo zaidi kuliko jukwaa zingine
7. Smart AJ ...Mzee wa ngoja wengine waje ....rafiki yake na Antonia
8. Tate Mkuu ....rafiki yake na Kalpana
9.@Lambardi ... mwamba kaupiga mwingi jukwaa la michezo
10. Kilimbatz ....most appeared member in 2023
11. cocastic .....kolo Lia Lia mwenye emojis nyingi za vicheko hapa jf...hata akitukanwa

Interlacustrine R ....mwamba mwenye comment ndefu inayotaja majina ya wansimba

mbinguni kwetu ... ameupiga mwingi mwaka 2023
Majok majok ...mwamba mwenye mpira wake

NB ni hao tu Kwa mwaka 2023 based their rating for the appearance in jamii spots
Hongera sana Comrade. Wewe ndiye shabiki pekee wa Yanga ambaye unawamudu kwa wakati mmoja, mashabiki wote wa Simba.

Yaani unaweza ukaanzisha uzi wa kuwasema hao mashabiki, au kuisema klabu yao!! Halafu wakakushambulia wote kwa wakati mmoja, tena kwa matusi ya kila aina!! na bado ukawamudu wote peke yako!! Aisee hongera sana kwa hilo. Nadhani wengi wao kwa sasa wamekuzoea.
Maana wewe ni Sugu MOTOCHINI. 🙌
 
Back
Top Bottom