Mlimcheka Kikwete; wengine hawa...sijui tutasingizia nini !!

Soma cheque vizuri

ikisha soma?
je ulitaka angeandika yy mwenyewe? maana hapo ndio angelikua na uhakika kama alichokifanya ni sahihi.
tumshutumu/mdhihak kwa jambo la kweli. hapo wa kulaumiwa ni mwandika chq na huyo mkurugenzi au mnataka awe anajiridhisha kabla haja ugeni rasm?
 
Ebu nijaribu... hiyo figure hapo ni 286,900,000.00 then intakiwa isomeke Two hundred eight six million and nine hundred thousand only

ni TWO HUNDRED EIGHTY SIX MILLION NINE HUNDRED THOUSAND ONLY. usitumie and sehemu ambapo hakuna sifuri katikati ya namba.
 
Duh! Mkuu, kama na wewe ungekuwa ni mshauri wa hao wakuu basi mambo yangekuwa mabaya zaidi.
Bora usingejaribu kurekebisha. Ilitakiwa isomeke; (Two hundred eighty six million nine hundred thousand only).
Kumbe na sisi tunachekwa!!!!!!
The way the cookie crumbles at JF
 
Aliyaandika Kikwete hayo mabango!
url
 
Hesabu ni Tatizo la Kitaifa,Kuajiliwa kwa mjuano ndo sababu ya haya yote,mi nakumbuka nilienda ofis moja Mhudumu wa Reception akashindwa kuandika jina langu:(Goseph Geosephat).Kwa hiyo hii inchi ukisema ufauatilie utaugua Pressa bure yaan ni uozo vichwa maji ndo wameshikiria vitengo nyeti,sehemu ya kuandika kwa tarakimu tu yeye anachanganya na maneno halafu kwa sababu aliyemuweka pale ni kaka wa shangazi yake na mjumba kwa baba yake mdogo wake na Binamu(Undugunization cycle).Hakuna hatua yoyote inayochukuliwa yaan ni kichefuchefu kitupu!!
Sidhani kama hawa watu wanaadabu na kazi zao.
 
Duh! Mkuu, kama na wewe ungekuwa ni mshauri wa hao wakuu basi mambo yangekuwa mabaya zaidi.
Bora usingejaribu kurekebisha. Ilitakiwa isomeke; (Two hundred eighty six million nine hundred thousand only).


Mshkaji: Ahaa, Mheshimiwa, Za huko ndugu yangu?
Waziri wa JK: Ah, Kiboko ya Wana, nzuri tu siku hizi sikuoni viwanjani, vipi umeshikwa wapi maana nakujua wewe!
Mshkaji: Nishikwe wapi bwana, wewe mwenyewe si unanijua mimi ni Mzee wa Hit n' run?
Mshkaji: Sasa ndugu yangu, kuna kijana wako pale nyumbani, nimejaribu kumpeleka shule lakini ndo hivyo tena, kashindwa, yeye bangi mtindo mmoja!
Waziri wa JK: Kwa hiyo unapanga umpeleke wapi sasa?
Mshkaji: Ah, wapi! Linavuta bangi tu hapa mtaani hakuna kitu kichwani hata nikimpeleka skuli hataelewa kitu, ni kupoteza hela bure. Naona umtafutie tu ajira Polisi.
Waziri wa JK: Sasa tutamsaidiaje, maana Polisi kwa sasa naona hakuna nafasi labda mpaka mwakani.
Mshkaji: Kwa sasa hakuna sehemu anayoweza kujishikizashikiza maana naogopa akibaki hapa nyumbani, mimba kwa ma-hausigel wangu. Si unanijua? Maana wengine ni Mama zake wadogo hawa.
Waziri wa JK: Kuna Nafasi benki, kwani hawezi kufanya hiyo?
Mshkaji: Duh! Ana division Zero Form Four, ataweza kweli!
Waziri wa JK: Mbona hiyo sio issue ndugu yangu, si unajua Mtoto wa Mzee Mrisho, yule sasa hivi bosi wa benk BNM?
Mshkaji: Ah, yule msomi mkubwa mbona?
Waziri wa JK: Ah, wapi, yule alikataa shule Form two ikabidi tumtafutie sehemu ya kumuweka ndo tukamuweka pale.
Mshkaji: Kwa hiyo aje lini kuanza kazi?
Waziri wa JK: Hata leo kama akiwa tayari aje kuanza na ataanza kupokea mshahara wa tangu mwezi uliopita ili kumwezesha kujinunulia vi-hitaji vyake vidogo vidogo.
Mshkaji: Ahsante ndugu yangu, ntakutafuta weekend hii maana muda mrefu hatujaonana, nadhani pale kwenye ile bar utakuwa umewamaliza Ma-bar maid wote watakuwa wananiita shemeji tu.
 
Wameruka 0.9 of a million. Noma kweli kweli! Hivi huwa hawasomi na kujiridhisha kwamba wako sahihi au ni uzembe tu?
 
Back
Top Bottom