MM lugha (kingereza) inaweza kuwa tatizo letu kubwa. Lakini tatizo laetu kubwa zaidi ni kukosa umakini! sijui inakuwaje kwa jicho la kawaida tu tena la haraka haraka unaweza ona dosari kwenye hayo maandishi, sembuse huyo aliyeyaandika, na huyo afisa wake wa juu aliyeyahakiki na kisha kwa huyo mtoa cheki hakusoma au nae hakuona kitu...na ndo tunavyoenda mpaka ngazi za maamuzi za taifa. si unakumbuka mkuu wa nchi alisaini sheria ambayo hata yeyey hayaisoma na akaisaini mbele ya kadamnasi na maTV kibao 'live'? umakini ni tatizo letu kubwa sana sana!