Apollo
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 4,921
- 3,248
umeona ehh! Taaaabu tupu!wabongo kwa maigizo..
umeona ehh! Taaaabu tupu!wabongo kwa maigizo..
acha mtizamo hasi wapi nimedharau kariakoo,nauliza malls ,kama ww k'koo ndiko unakopata needs zako and ur satify its okey ,Bongo na malls wapi na wapi? Wewe ndiye wale wale mnaopretend siyo wabongo! Mnadharau vya kwenu! Kariakoo kwangu is everything! Sioni sehemu nyingine nayoweza kufanya shopping ya uhakika na kwa garama nafuu kama Kariakoo!
Wewe kweli nyani, yaani unaponda kwenu kiasi hicho!!!!!!!Mlimani City kwani nayo mall hiyo? Hata strip malls za mbele ni kali kuliko hiyo Mlimani City. Kwanza imekaa kama banda flani la kuku wa mayai hivi....
nakuaminia Nn.Ohh yeah nyie endeleeni kunyuka mitumba tu. Pamba za akina Tom Ford, Lanvin, Gianvito Rossi, Barton Perreira, Ann Demeulemeester (unaweza hata kulitamka hili jina wewe? - teh teh teh)....tuacheni sisi mashine kubwa. http://www.barneys.com/High-Neck-Waistcoat/501388728,default,pd.html
Unazitakia nini wakati wewe unaishi majuu?ishu siyo majuu nao wanakuja huku'najua tumekuzwa na magenge nauliza bongo malls za ukweli !
Ur satisfy ndo nini sasa!!!!!! Badala ya kujifunza lugha unashangaa mallsacha mtizamo hasi wapi nimedharau kariakoo,nauliza malls ,kama ww k'koo ndiko unakopata needs zako and ur satify its okey ,
Huu mjengo pembeni ya Sam Nujoma Road unambwembwe zake ukiingia mle ndani watu wanabehave kama vile si watz, kama vile hii nchi haina matatizo (umeme) watu wanaspeak kwa Swaga balaa..mara "you know" or "actually" nasema haya coz nilizungumza watu tofauti mle ndani nkasema may be huku siko tz nnayoijua,watu wako class ,happy ,watanashati ,health ! mazingira hayo yakapelekea nione kama Nawatch aina fulani ya movie!
we acha kukurupuka na mimiUr satisfy ndo nini sasa!!!!!! Badala ya kujifunza lugha unashangaa malls
ila umeziona mbwembwe za watz ndani M.city ndo tabia yetu usanii tu hata kama wananjaa!
Mlimani City kwani nayo mall hiyo? Hata strip malls za mbele ni kali kuliko hiyo Mlimani City. Kwanza imekaa kama banda flani la kuku wa mayai hivi....
Mkimaliza kuzunguka mlimani city tukutane Butiama pale kwa pilau maarufu.!!
msukuma huyu ndo walivyoWewe kweli nyani, yaani unaponda kwenu kiasi hicho!!!!!!!
Mi niko milimani city nafanya shopping (lol) nikimaliza nakuja kukukuta hapo hapo...Ngoja ce 2endelee kubaki huku corner bar 2jinywee vibia vye2 vya promotion,nyie wenye swagar za brooklyn na manhattan kuleni maisha 2.
Ya hapo Magomeni? jamaa wachafu sana siku hizi ukila hapo lazima baadaye uendeshe, nitakupa new location ya pilau na biryani safi na bei ni rafiki tu kama hapo butiama
e bwana umenena! Mie napaona kama godown la mbolea!Mlimani City kwani nayo mall hiyo? Hata strip malls za mbele ni kali kuliko hiyo Mlimani City. Kwanza imekaa kama banda flani la kuku wa mayai hivi....