Ha ha ha haa.. Mkuu hukuchukua namba???
Yaap mkuu sekenge Hamna kitu SKU hizi .Haizifikii hata kona za nyang'olo Dodoma _ Iringa.ILa kitonga habari nyingine ile.sekenge hamna kitu hata kona za songea Ni Kali zaidi
K9 noma. Siku moja break zilipata Moto zikawa hazishiki tulikuwa tunashuka kuelekea kabanga.K9 ya Ngara je?
Haya huna, basi hata huoni vibaya?Sekenke imepunguzwa makali,palikuwa noma pale.ila kufa kufaa mazee,zamani pakianguka gari la mizigo fasta tunaenda "kuokoa" vitu,ndo ada zetu za shule tulipatia kwa shughuli za "uokoaji"
Hawa ni akina mwigulu walitolewa na sekenkeHaya huna, basi hata huoni vibaya?