true kilimanyege,kibanda maiti, mchamba wima nkZenji kuna majina ya ajabu sana.
Kuna milima ya lukumburu, ukiwa Unaenda songea baada ya Njombe! Weeeeh! Kitonga inasubiri!Kitonga habari nyingine
Kwa wale watu wa kusafiri safiri sana,
Kati ya mlima Sekenge uliopo Singida, mlima ulioua abiria kibao kwa ajali zake, yaani mkifika na basi mnasali kwanza. Enzi zile mkifika na basi abiria wanashuka na kutangulia kwa miguu then basi linakuja na mizigo na dereva; na mlima Kitonga wa Iringa wenye kona kibao, upi unatisha sana kwa madereva?
Mkuu Lini hii? Hii kampuni Kama naifahamu hivi....Kitonga simchezo bado hatari....View attachment 333649
Safiri kutoka Mbeya kwenda Chunya utaona hapo tu Jirani jinsi barabara ilivyopita nadhani huo ndo hatari kuliko KitongaKwa Tanzania mlima mkali kwa sasa ni Kitonga tu
Mnatuchanganya! Kitonga? Lukumbura? Au huo wa Dodoma iringa? Wa chunya? Elewekeni!Safiri kutoka Mbeya kwenda Chunya utaona hapo tu Jirani jinsi barabara ilivyopita nadhani huo ndo hatari kuliko Kitonga
Kitonga hatari mkuuKwa wale watu wa kusafiri safiri sana,
Kati ya mlima Sekenge uliopo Singida, mlima ulioua abiria kibao kwa ajali zake, yaani mkifika na basi mnasali kwanza. Enzi zile mkifika na basi abiria wanashuka na kutangulia kwa miguu then basi linakuja na mizigo na dereva; na mlima Kitonga wa Iringa wenye kona kibao, upi unatisha sana kwa madereva?
Mkuu Kitonga hamna kitu pale, Ogopa Sana kilomita 180 unaendesha kwa masaa 5.. Kutoka Njombe kufika Songea sio pa kitoto!Kitonga hatari mkuu
mlima upo mahenge, hiyo yote haitishi hata kidogoMkuu Kitonga hamna kitu pale, Ogopa Sana kilomita 180 unaendesha kwa masaa 5.. Kutoka Njombe kufika Songea sio pa kitoto!
Mkuu ushapita hiyo njia ya lukumburu lakini?kitonga hatar
Kinachotisha hapo jina lake tu!Kilimanyege Zanzibar ndio naona unatisha.