Mlima Kitonga vs Mlima Sekenke, upi mkali?

Mlima Kitonga vs Mlima Sekenke, upi mkali?

pigeni kelele weee ila nyang`oro hakunaga mlima hatari kama ule,una kona kali na za hatari mfululizo kwa umbali wa km 60...pale lukumburu panasubiri mkuu..
 
nimeenda youtube nimekosa video ya mlima kitonga daaah ndio tz hatuna kumbukumbu tena kwa vizazi vijavyo

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
Mlima huo unaitwa ndororo ni balaa ule mlima wakati wa nyuma kabla haujawekwa lami kipindi cha mvua magari mbovu hayapiti hapi
Nimepita kitonga mara kadhaa, ila Ndororo ni nyoko aisee, wengi hawaujui sababu hawajaupita. Ndororo mm naiogopa wakati wa kushuka ukiwa upande wa korongo, mmh hapana aisee. Kabla sijapandisha au kushuka ile kitu lazima maombi yahusike kwanza.
 
Kitonga aisee...
Senkenke ilikuwa zamani sio sasa

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Hii milima yote kipindi hicho kabla barabara hazijachongwa ilikuwa ni nuksi na yote imeua sana, kama unataka kujua kuna milima nuksi hadi sasa tembelea bukavu, na goma huko...au usambara huko
 
MAENGENEER WA MIAKA HII WANAPOTEZA UONDO YAANI MTU UNASAFIRI HAKUNA HATA MLIMA WA KUSIMULIA YOTE WAMEIJENGA BARABARA ZA LAMI KWA KUKATA MILIMA YAANI IMEKUA TAMBARARE TUU
 
MLIMA KITONGA NI HATARI ACHENI MASIHARA GARI LIKIPINDUKA HATA MAITI ZENU HAZIWEZI KUONEKANA KWAKUWA KUNA SHIMO/KORONGO REFU SANA KIASI KWAMBA MWISHO HAKUONEKANI NA VILE VILE HUU MLIMA UNAKONA KALI SANA KUUMALIZA KUUVUKA HUO MLIMA UNATUMIA MASAA KAMA 3 HIVI
 
MLIMA KITONGA NI HATARI ACHENI MASIHARA GARI LIKIPINDUKA HATA MAITI ZENU HAZIWEZI KUONEKANA KWAKUWA KUNA SHIMO/KORONGO REFU SANA KIASI KWAMBA MWISHO HAKUONEKANI NA VILE VILE HUU MLIMA UNAKONA KALI SANA KUUMALIZA KUUVUKA HUO MLIMA UNATUMIA MASAA KAMA 3 HIVI
Hapana masaa matatu hayafiki bhana, kuna kona kama 50 hivi
 
Kwa wale watu wa kusafiri safiri sana, Kati ya mlima Sekenge uliopo Singida, mlima ulioua abiria kibao kwa ajali zake, yaani mkifika na basi mnasali kwanza. Enzi zile mkifika na basi abiria wanashuka na kutangulia kwa miguu then basi linakuja na mizigo na dereva; na mlima Kitonga wa Iringa wenye kona kibao, upi unatisha sana kwa madereva?

Mkali Kilimanjaro! Hakuna dereva aliyewahi kuupanda. Senkenke na Kitonga kitu gani bwana, watu tunapanda hadi kwa 100km/hr.
 
kona kari zipo mlima flani kama waenda ifakara, mahenge-ulanga huko!..
 
siku hiz sekenke hakuna mlima ni barabara tu ya kawaida ila kitonga nomaaa,enzi zle tunaenda mza kupita singida na mashiku bus service ni balaa mkuu,

Enzi hizo hizo za mashiku sekenke ilikua nomaaa zaidi huo mlima sio mkali kivile lkn una kona harari saaana ktk milima iliopo hapa nchini
Sekenke unaogopeka kwa kona zake
Huwez linganisha na kitonga kona zake kama mosquito coil
Hata saranda ni kigongo lkn hautishi ka sekenke
 
Back
Top Bottom