Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,894
Mkuu huyu Rostam dawa yake sio kususia huduma ya vodacom dawa yake ni kuuanika ufisadi wake hadharani na njia alizotumia ili mali zake zitaifishwe. Hiyo voda najua ameajiri mitoto mingi ya mafisadi lakini tukumbuke hata walalahoi tupo tunaojipatia kaugali kwa siku.
Mkuu uozo wa RA uko nje nje mwingi na hakuna wa kumgua.Kumbuka ukimgusa RA means umemgusa Lowasa na labda hata Muungwana mwenyewe .Sasa dawa ni ku sacrifice wachache na kuokoa Taifa .Tutaulizwa na watoto wetu na wajukuu na watatupiga mawe hadharani maana tabia hii inarithishwa na ni hatari mno kwa umoja wa kitaifa na maendeleo yake .