Mkuu wa Wilaya Vs Kamanda wa Polisi

Mkuu wa Wilaya Vs Kamanda wa Polisi

Usiongee kupanda vyeo ambavyo mchakato wake wa mapendekezo DC na RC hawahusiki. Tunaongelea mamlaka ya kukamata ya DC au RC bila kulishawishi Jeshi jinai iliyotendwa. Kama ulijui Jeshi la Polisi hutalijua milele, pata faida yangu ili mbele ya safari msianzw kuita ma-OCD kuwa watovu wa nidhamu wakitekeleza majukumu yao. DC kwenye hilo ni Accessory After the fact anastahili kwenda mahakamani akiunganishwa na watuhumiwa wa awali.

Sent from my SM-J710F using JamiiForums mobile app
Nimewahi kushuhudia kwenye kikao afisa biashara akiwekwa ndani kwa amri ya dc ambayo alimpa ocd...alimiiliza kwanza ocd kwako una nafasi...ocd akasimama akapiga salute akamjibu ndio mkuu..kisha ondoka na huyu mtu akae kwa yale masaa yangu 24 ocd bila kuhoji alimuru pc ( alikua dereva ) akamkamata akawekwa ndani mpaka jioni....kosa lilikua sio jinai bali ni kushindwa kufikia makubaliano na wafanyabiashafa so katika majibizano hayo yakatokea...So nikuulize swali yale mamlka ya DCs dhidi ya OCD(askari) huwa wanayatoa wapi? wakati mwingine wanafanya hata hadharani na vyombo vya habari vinarepot lakini hatujaona hatua yoyte ikichukuliwa je ? wote hawajui kama DC na RCs wanavunja sheria?......
 
Nakuona unataka niseme baadhi ya maneno hatari sana ambayo yanaweza kuwa onyo kwa wanaofanya mambo yasiyo jinai yaonekane jinai na yale ya jinai yaonekane sio jinai. Ni kosa la jinai kuwaingilia Polisi katika utekelezaji wa majukumu yao, siku watu wakiamua kusimamia sheria utaelewa. Kuna mahali miundo mbinu ya kisheria imekatika na kuathirika, imekuwa familia ya kambale, kila mtu ana ndevu kuanzia baba, mama mpaka watoto.
 
NATARAJIA KUONA STATEMENT YA JESHI LA POLISI IKIELEZEA HALI YA SINTONFAHAMU KUONDOA MATONGOTONGO KWA WANANCHI WASIOELEWA...

NASHUKURU SANA M SI MSEMAJI TUSUBIRI JESHI LETU...
 
Stori ni hivi?
Baada ya jeshi la polisi kukamata mbolea ya ruzuku iliyokuwa inatoroshwa na wafanya biashara kwenda Malawi..Mkuu wa Wilaya akaamua kuzigawa kwa wananchi..
Kumbuka hyo mbolea ni kielelezo au ushahidi mahakamani unaohitajika kwenye kesi..Kikosi cha polisi kikatumwa kuzikamata tena hizo mbolea..Mkuu wa wilaya amekasirika ameamua kumuita kamanda wa polisi ofisini ajieleze..
Wajuzi hapa nani anakosa?
Stori yako nusu nusu wilaya gani anaitwa nani?
 
Ujue mkuu wa wilaya ni mwakilishi wa raisi, anatenda kwa niaba yake, tatizo ni nini??
 
Ujue mkuu wa wilaya ni mwakilishi wa raisi, anatenda kwa niaba yake, tatizo ni nini??
Sio mwakilishi wa Rais kwenye majeshi, Amiri Jeshi Mkuu huwa madaraka hayo hayakaimishwi. Hata leo akisafiri nje ya nchi Makamu wa Rais anakaimu urais sio uamiri Jeshi Mkuu. Kuweni makini kuwapa watu madaraka ambayo hata Katiba haijayatoa. Mkuu wa Wilaya na Polisi wapi na wapi?
 
Kwangu DC alitakiwa apelekwe mahakamani kwa kosa la kusaidia watuhumiwa wa wizi i.e Accessory After the Fact. Pia anaweza kuongezewa kosa lingine la kuzuia utendaji wa maofisa wa Polisi katika kukamata watuhumiwa kinyume cha sheria. Lazima wajue mipaka ya kazi zao. Wakivamia ma-OCD wengine watajikuta mahabusu washindwe kujitetea.
 
Huyo mkuu wa wilaya hajielewi Polisi ni sector nyeti sana, mkuu wa wilaya hana mamlaka kumuwajibisha Afisa wa Polisi. Kumbuka Polisi ni jeshi.
Mkuu unaongea kishabiki au maana unachekesha?
 
Polisi siyo jeshi kama unavyoota ndoto,polisi ni raia kabisa kama raia wengne tofauti ni kwamba yeye anajua guu pande guu sawa ,

Polisi ni nanga tena wa demo ,mbona huyo mkuu wa wilaya hakumuita kamanda wa kikosi cha kambi ya jeshi hapo kwake atoe maelezo fooolish sana huyo mkuu wa wilaya na polisi wake
Na wewe naona umepaliwa gongo
 
Nitashangaa kama wapo watanzania wanaodhani Mkuu wa Wilaya ni sawa na Rais kwa Jeshi la Polisi, kumbuka Jeshi la Polisi halipo chini ya Serikali ya Wilaya bali Amiri Jeshi Mkuu mmoja tu. Vitabu vya Polisi vinasema zipo Rank ambazo zinawajibika kuwapigia saluti ma-DC na sio zote. Kwa hiyo ukikuta OCD anapiga saluti hiyo is just ofa tu
Mkuu hicho kitu ulikisoma wapi? Don't talk amateurish
 
Naomba uelewe kuwa Kamati ya Ulinzi na Usalama ipo kwenye Sheria ya Tamisemi ambayo Polisi wanaingia kama washauri kupitia Polisi Jamii na sio vinginevyo. Polisi hawatakiwi kupewa amri za moja kwa moja au maelekezo toka kwa viongozi wasio askari wa Polisi. JESHI LA POLISI LINAONGOZWA NA POLICE GENERAL ORDERS AMBAZO HAITOI MAMLAKA YEYOTE OVER POLISI KWA MWANASIASA YOYOTE ZAIDI YA AMIRI JESHI MKUU. Ukiona Polisi wanapokea maelekezo ya wanasiasa wanafanya hivyo kistaarabu tu.
Mbna umewahi kuwekwa ndanj kwa order ya DC....je hiyo sio direct order? Mkuu sometimes kitu kama hukijui jaribu kunyamaza.
Usipende hisia zikuendeshe.
 
Back
Top Bottom