lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,214
- 28,133
Hawa wakuu wa wilaya wa bwana mkubwa hawa sijui wanaongozwa na nini?
Wewe mtu mzima kabisa unashindwa kujua kwamba kitu anachokamatwa nacho mtuhumiwa huwa kinatumika kama kielelezo katika kesi yake?
Basi hapo kajiona yeye anajua kuliko kamanda wa polisi.