Mkuu wa Wilaya Vs Kamanda wa Polisi

Mkuu wa Wilaya Vs Kamanda wa Polisi

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,129
Reaction score
8,378
Stori ni hivi?
Baada ya jeshi la polisi kukamata mbolea ya ruzuku iliyokuwa inatoroshwa na wafanya biashara kwenda Malawi..Mkuu wa Wilaya akaamua kuzigawa kwa wananchi..
Kumbuka hyo mbolea ni kielelezo au ushahidi mahakamani unaohitajika kwenye kesi..Kikosi cha polisi kikatumwa kuzikamata tena hizo mbolea..Mkuu wa wilaya amekasirika ameamua kumuita kamanda wa polisi ofisini ajieleze..
Wajuzi hapa nani anakosa?
 
hapo ndo patamu DCs kiufupi hawanaga kazi kabisa ni are ghosts in government payrolls... hata ukimuuliza kama ni mwanasiasa au mtumishi wa umma haelewi....hapo naona DC yupo sawa na hayuko sawa inategemeana na sababu ya kukamata mbolea...kama wahusika walenda mahakamani...ila DC anamwajibisha OCD coz ndiye mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya...anawasimamia makamanda wote wa wilaya wanaohusika na ulinzi.....mimi huwa napenda nikisikia DC akimkurupusha mkurugenzi unaona wanaangaliana tu mwisho wa siku Dc anavyata mkia anaendelea kupiga tumba........kazi zao ni issues za utoro wa wanafunzi, uzururaji na nyingine kama hizo ...hawaderve bendera kwenye gari zao kabisa
 
Stori ni hivi?
Baada ya jeshi la polisi kukamata mbolea ya ruzuku iliyokuwa inatoroshwa na wafanya biashara kwenda Malawi..Mkuu wa Wilaya akaamua kuzigawa kwa wananchi..
Kumbuka hyo mbolea ni kielelezo au ushahidi mahakamani unaohitajika kwenye kesi..Kikosi cha polisi kikatumwa kuzikamata tena hizo mbolea..Mkuu wa wilaya amekasirika ameamua kumuita kamanda wa polisi ofisini ajieleze..
Wajuzi hapa nani anakosa?
Hapo Polisi wana kosa la nidhamu na wanapaswa kuwajibishwa, Mkuu wa Wilaya ni sawa na raisi katika Wilaya, maamuzi yake OCD hapaswi kuyapinga hata kama kakosea. Huyo ni boss wake na anapaswa kutii pasipo kuhoji. OCD ni Mwakilishi wa IGP na DC ni Rais.
 
Huyo mkuu wa wilaya hajielewi Polisi ni sector nyeti sana, mkuu wa wilaya hana mamlaka kumuwajibisha Afisa wa Polisi. Kumbuka Polisi ni jeshi.
Nanikakudanganya polisi ni jenshi??? Rufi shule wewe ungekuwa unawaonawakati wakumuapisha Rais
 
Kama DC alitoa maagizo yanayopingana na utekelezaji au mchakato wa uchukuaji wa sheria OCD alipashwa amshauri DC siyo kupingana naye hadharani
 
Acha uzezeta kama hujui kitu uwe unauliza. Au ni idara ya nyumbani kwako? Acha uzuzu
sasa wewe zezeta square mbona hujasema police ni jeshi gani la ardhini,angani,majini au jeshi la namna gani?yaelekea wewe ni wale police mlioingia huko idarani kwa vyeti vya kufoji.kobe jike wewe
 
Hapo Polisi wana kosa la nidhamu na wanapaswa kuwajibishwa, Mkuu wa Wilaya ni sawa na raisi katika Wilaya, maamuzi yake OCD hapaswi kuyapinga hata kama kakosea. Huyo ni boss wake na anapaswa kutii pasipo kuhoji. OCD ni Mwakilishi wa IGP na DC ni Rais.
OCD anaweza kuwa DC muda wowote lakini kinyume chake haiwezekani. Haiwezekani kielelezo kigawanywe kwa watu bila idhini ya Mahakama vingine DC angesema mapema,mbolea ikikamatwa hakuna kufuata taratibu za kisheria zaidi ya kuwarudishia wananchi. Trust me,in a near future DC atatolewa hapo. Huo ndio ujinga wa kupewa madaraka na kugoma kujua majukumu ya watu
 
Nanikakudanganya polisi ni jenshi??? Rufi shule wewe ungekuwa unawaonawakati wakumuapisha Rais
Yaaan na wewe ndio box kabisa hiyo sababu uliyotoa ni ya hovyo sana.

Unataka kusema wakati wa kumuapisha rais wanakuwaga wanajeshi pekee??
Hata kama ingekuwa hivyo bado sababu yako uliyotoa ni ya kimaandazi sana na haina uhusiano kabisa.
 
Back
Top Bottom