Naomba nikueleweshe hili, DC sio bosi wa Jeshi la Polisi. Kwa mujibu wa taratibu za kijeshi, OCD ndio mkuu wa Jeshi kwa ngazi ya Wilaya na hana bosi. Nenda kawaulize wanaohusika. Sheria za kizuizini kwa saa 24 inatumika kwenye mazingira ambayo hakuna askari Polisi na inasema wazi kuwa awakabidhi Polisi ndani ya muda huo ili wafungue kosa la Jinai vinginevyo sio sheria ya kujiamuria hata DC akisikia demu wake anatembea na mtu amuweke kizuizini. Soma sheria hiyo, usiisikilize tu.
Sent from my SM-J710F using
JamiiForums mobile app