masalamado
Member
- Nov 1, 2010
- 18
- 3
kaka kulinda amani wanatumia manati? kwa hiyo wakishambuliwa wasijibu mapigo?!
HUKO NDIKO KULINDA AMANI KWENYEWE kunakotambuliwa na UN. bado machizi mawili yamebaki nayo tukiyatoa roho tuu basi Congo watabaki na kicheko milele. bado winga wa kulia, na kiwayawaya mekaga. razima ujuwe ya kwamba Kagame ni raisi mwembamba kuliko wote dunianiWa Tz ni watu waajabu sana! Si mlisema wanajeshi wa tz hawaendi kupigana bali kulinda amani!
mdomo ulinzo kichwa bwana kagame omba msamaha kwa kikwete vinginevyo ngoma hii itapigwa live ndani ya ikulu ya kigali
source please,usituletee habari za kizushi hapa,
Masharti ni tofauti ya Dafur na Congo. Congo wanaruhusiwa kushambulia inapobidi.Mnachonishangaza Watanzania ni pale mnapochanganya mambo Kule Daful Baada ya kuuawa wale wanajeshi wetu mlisema wanajeshi wanaolinda amani huwa hawaruhusiwi kuwa na Siraha sasa leo mnashabikia kuwa JWTZ ndo waliofanya juhudi hadi kuuawa huyo kiongozi wa M23 je walitumia fimbo, mawe au virungu? maana walinda amani hawatakiwi kuwa na Siraha.
hana mrithi kweli?
wewe unapata habari mapema. Kwa sababu bertrand bisimwa alikuwa anaongea jioni hii,na hakuzungumza kuhusu hiki kifo cha colonel sultan. Ameongea maneno ambayo labda yatamletea wasiwasi rais kikwete. Anasema hawa jeshi ya kongo haiwezi kutushinda sisi.
Wa Tz ni watu waajabu sana! Si mlisema wanajeshi wa tz hawaendi kupigana bali kulinda amani!
Mnachonishangaza Watanzania ni pale mnapochanganya mambo Kule Daful Baada ya kuuawa wale wanajeshi wetu mlisema wanajeshi wanaolinda amani huwa hawaruhusiwi kuwa na Siraha sasa leo mnashabikia kuwa JWTZ ndo waliofanya juhudi hadi kuuawa huyo kiongozi wa M23 je walitumia fimbo, mawe au virungu? maana walinda amani hawatakiwi kuwa na Siraha.
Badae tutasiki,maafande 7 wa tz wako RIP. Revenge is on its way.
Wewe uko dunia ya wapi? ni siku 2 tu zilizo pita UN iliwapa kibali cha kushambulia pale wanapo vamiwa huko Congo.Fuatili hii makitu mkuu.
Bigmouth qoute" If you are in military....two things involved......is either you kill somebody or somebody kills you". Kazi ya jeshi ni kuua au wakikuwahi wanakuua...Kifo ni part and parcel ya mwanajeshi.ACHA UWOGA . JWTZ alutaaaaaaaaaaaa...
Kagame nadhan anausoma Mchezo wa JWTZ, M23 lazma waombe POO, kimya cha Tanzania hakimaanishi Uoga au Unyonge bali ni busara na Subira tulizojaaliwa na Mola wetu, Mama Joyce Banda kama kachoka kiti chake nae asogeze Mgambo wake mpakani! Ukitaka kujua shughuli ya Jwtz muulize Mreno wakati wa Mapambano ya Frelimo Msumbiji!
...Jwtz muulize Mreno wakati wa Mapambano ya Frelimo Msumbiji!