kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,931
- 7,828
Nikuulize swali kibogo; wewe unasikitika kwa huyo kiongozi wa waasi kuuliwa au la?Mnachonishangaza Watanzania ni pale mnapochanganya mambo Kule Daful Baada ya kuuawa wale wanajeshi wetu mlisema wanajeshi wanaolinda amani huwa hawaruhusiwi kuwa na Siraha sasa leo mnashabikia kuwa JWTZ ndo waliofanya juhudi hadi kuuawa huyo kiongozi wa M23 je walitumia fimbo, mawe au virungu? maana walinda amani hawatakiwi kuwa na Siraha.