Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,676
- 8,246
habari umezipata kutokea wapi
Koba ndio mletaji habari khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee muulizeni.
habari umezipata kutokea wapi
Mnachonishangaza Watanzania ni pale mnapochanganya mambo Kule Daful Baada ya kuuawa wale wanajeshi wetu mlisema wanajeshi wanaolinda amani huwa hawaruhusiwi kuwa na Siraha sasa leo mnashabikia kuwa JWTZ ndo waliofanya juhudi hadi kuuawa huyo kiongozi wa M23 je walitumia fimbo, mawe au virungu? maana walinda amani hawatakiwi kuwa na Siraha.
Mnachonishangaza Watanzania ni pale mnapochanganya mambo Kule Daful Baada ya kuuawa wale wanajeshi wetu mlisema wanajeshi wanaolinda amani huwa hawaruhusiwi kuwa na Siraha sasia leo mnashabikia kuwa JWTZ ndo waliofanya juhudi hadi kuuawa huyo kiongozi wa M23 je walitumia fimbo, mawe au virungu? maana walinda amani hawatakiwi
kuwa na Siraha.
Blood thirsty. Hire me to be your proof reader. I'm jobless
Mnachonishangaza Watanzania ni pale mnapochanganya mambo Kule Daful Baada ya kuuawa wale wanajeshi wetu mlisema wanajeshi wanaolinda amani huwa hawaruhusiwi kuwa na Siraha sasa leo mnashabikia kuwa JWTZ ndo waliofanya juhudi hadi kuuawa huyo kiongozi wa M23 je walitumia fimbo, mawe au virungu? maana walinda amani hawatakiwi kuwa na Siraha.
Mnachonishangaza Watanzania ni pale mnapochanganya mambo Kule Daful Baada ya kuuawa wale wanajeshi wetu mlisema wanajeshi wanaolinda amani huwa hawaruhusiwi kuwa na Siraha sasa leo mnashabikia kuwa JWTZ ndo waliofanya juhudi hadi kuuawa huyo kiongozi wa M23 je walitumia fimbo, mawe au virungu? maana walinda amani hawatakiwi kuwa na Siraha.
Mnachonishangaza Watanzania ni pale mnapochanganya mambo Kule Daful Baada ya kuuawa wale wanajeshi wetu mlisema wanajeshi wanaolinda amani huwa hawaruhusiwi kuwa na Siraha sasa leo mnashabikia kuwa JWTZ ndo waliofanya juhudi hadi kuuawa huyo kiongozi wa M23 je walitumia fimbo, mawe au virungu? maana walinda amani hawatakiwi kuwa na Siraha.
Mnachonishangaza Watanzania ni pale mnapochanganya mambo Kule Daful Baada ya kuuawa wale wanajeshi wetu mlisema wanajeshi wanaolinda amani huwa hawaruhusiwi kuwa na Siraha sasa leo mnashabikia kuwa JWTZ ndo waliofanya juhudi hadi kuuawa huyo kiongozi wa M23 je walitumia fimbo, mawe au virungu? maana walinda amani hawatakiwi kuwa na Siraha.
Hao ndio JWTZ! Mbona watatujua safari hii!
Ole wao walipe kisasi kwenye ardhi yetu TUTAPIGA hadi panya hawatasalia!!!
siraha ndio nini?
Sent from my blackberry 9780 using jamiiforums
umhh rip vita mbaya warudi mezani bana
umesoma vizuri malengo na nia ya hizo
missions?angalia then utajijibu.
habari umezipata kutokea wapi
fier
kaka mission ya congo ni tofauti na darfur huko congo askari jeshi wetu wanakuwa peace enforcer hio unakuwa unaruhusiwa hata kuwatafuta na kupiga waasi hata kama hawajakuchokoza! Ila darfur wale wanakuwa ma peace keeper hio huwapigi ila unatumia diplomasia zaidi kutatua matatizo! Ndio maana wanajeshi wetu wanaomba tutumie article no 7 ambayo mnakuwa kama mpo uwanja wa mapambano! Tofauti na hio article 6 ambayo wanaitumia darfur
koba ndio mletaji habari khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee muulizeni.