Mkuu wa M 23 Colonel Sultan Makenga is Dead

Mkuu wa M 23 Colonel Sultan Makenga is Dead

Status
Not open for further replies.
mpe japo mfano wa 2008 visiwa vya comoro
mambo ya jwtz
comoro..

askari wa jeshi la wananchi tanzania (jwtz) akiwa ameshikilia silaha nzito ya kivita katika kisiwa cha moheli nchini comoro.


tatizo wengi wanaotetea mauaji ya raia wa drc hapa wameokotwa kigali kiushabiki zaidi na hawana uelewa wowote , watakuambia huyo nia askari wa rwanda wakati wa vita ya kumwondoa mobutu madarakani.
 
Wa Tz ni watu waajabu sana! Si mlisema wanajeshi wa tz hawaendi kupigana bali kulinda amani!

Mkuu, hizi ni mission mbili tofauti. Wale wa Congo wanamandate ya kushambulia hata kama hawajachokozwa, ila wale ni sudan watajibu mapigo kama wakianzwa. Jerea mazimmio ya UN kwenye hizi missions
 
Habari nilizozipata sasa hv ni kwamba Mkuu wa M 23 alijeruhiwa vibaya katika mapambano ya juzi yaliyoendeshwa na serikali ya Congo juzi, na baada ya kujeruhiwa akakimbizwa Uganda, Kampala kwa ajili ya matibabu ambako amefia huko.Ushindi unakaribia.Bravo kwa wapenda amani wote.
Not confirmed, na habari hii ya kujeruhiwa Sultan Makenga huenda sio kwenye vita hii ya sasa. DRC Rebels Deny their leader has been wounded
 
ametangulia bado mwigulu atafuata tu.
 
Mnachonishangaza Watanzania ni pale mnapochanganya mambo Kule Daful Baada ya kuuawa wale wanajeshi wetu mlisema wanajeshi wanaolinda amani huwa hawaruhusiwi kuwa na Siraha sasa leo mnashabikia kuwa JWTZ ndo waliofanya juhudi hadi kuuawa huyo kiongozi wa M23 je walitumia fimbo, mawe au virungu? maana walinda amani hawatakiwi kuwa na Siraha.
Hata akifa kwa typhoid ....
 
Kagame nadhan anausoma Mchezo wa JWTZ, M23 lazma waombe POO, kimya cha Tanzania hakimaanishi Uoga au Unyonge bali ni busara na Subira tulizojaaliwa na Mola wetu, Mama Joyce Banda kama kachoka kiti chake nae asogeze Mgambo wake mpakani! Ukitaka kujua shughuli ya Jwtz muulize Mreno wakati wa Mapambano ya Frelimo Msumbiji!

Mkuu Umeongea kiuzalendo hadi umenifurahisha.
 
Bwana kagame just be ready war is coming soon. Wewe si uliambiwa mkae na nduguzo ili yaishe ukatunishe msuli. Zamu inakuja umeyataka mwenyewe. Mdomo uliponza kichwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mnachonishangaza Watanzania ni pale mnapochanganya mambo Kule Daful Baada ya kuuawa wale wanajeshi wetu mlisema wanajeshi wanaolinda amani huwa hawaruhusiwi kuwa na Siraha sasa leo mnashabikia kuwa JWTZ ndo waliofanya juhudi hadi kuuawa huyo kiongozi wa M23 je walitumia fimbo, mawe au virungu? maana walinda amani hawatakiwi kuwa na Siraha.

Mkuu labda walioko DRC ni peace enforcers na siyo peacekeepers. Walioko Sudan ni peacekeepers.
 
Mdomo ulinzo kichwa bwana kagame omba msamaha kwa kikwete vinginevyo ngoma hii itapigwa live ndani ya ikulu ya kigali
 
Hii ndio JF mkuu, watu hatujuani humu wengine ni vyanzo vya taarifa.!!!

Mimi ni muda sana nimewapa heshima yao wana_Jf, ni kweli kabisa ulivosema kuwa humu ndani kuna vyanzo vya taharifa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom