mokala1989
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 2,236
- 730
wala twitter ya m23 haina habari hizi.not confirmed.
mauaji yamewachanganya, muda wa kwenda twitter ni upi badala ya kupanga jinsi ya kujitetea kwa slim boy.
wala twitter ya m23 haina habari hizi.not confirmed.
Bertrand Bisimwa amesema Jeshi la U N ni peace keeping force,kwa hiyo atalitegemea kumshambulia yeyote anayevunja amani,hata kulishambulia Jeshi la Kongo,jambo ambalo Munuq imewahi kufanya. Anasema Monuq wamewahi kulishambia Jeshi la Kongo,in the past.
Lakini Gavana wa Kivu anasema anataka kuona Walinda Amani wanaanza kazi yao ya kudisarm hawa watu'' ili Kivu Kaskazini irudi katika mfumo wa maendeleo wa Dunia''
Naye Kamanda wa Jeshi la Knog Col. Olivier Hamuli anasema M23 ni wahalifu wa kivita,wanawatesa sana watu sehemu zile wanazomiliki.
Mawazo yangu,hawa watu wamuogope Mungu.
mauaji yamewachanganya, muda wa kwenda twitter ni upi badala ya kupanga jinsi ya kujitetea kwa slim boy.
tuache utani huyu mtu ni nomaaaaaaaaaaaa!
![]()
TUACHE UTANI HUYU MTU NI NOMAAAAAAAAAAAA!
![]()
Hapana unapotosha,
Hii ruhusa ya kupigana walipata tokea mwaka jana na ilikuwa ni moja ya masharti ya kupeleka jeshi huko,
na kunatofauti kubwa sana ya kikosi kilichopo SUDAN na CONGO.
SUDAN ni Peace Observers( hawa ahawaruhusiwi kulianzisha mapka pale watakapo shambuliwa) while waliopo CONGO tunaweza kusema ni PEACE ENFORCERs( hawa hawasubiri wapigwe kujibu mapigo, hawa kama intelejensia yao inasema kuna dalili ya kupigwa wanruhusiwa kwenda kulianzisha)
Bring it on....You are free to roll it with meh!
Hivi Mkuu nchi kama Rwanda JWTZ inaweza ikatupa mabomu mangapi na kwa muda gani inaweza ikachakazwa kama tukiingia nao Uwanjani wa Mapambano.
Bravo fardc kwa ushindi. Kwa mara ya kwanza mnaweza kulinda nchi yenu. Pamoja na ujasiri kuweni na nidhamu. Msiwatendee unyama maadui zenu wakati huu wa furaha ya ushindi.Habari nilizozipata sasa hv ni kwamba Mkuu wa M 23 alijeruhiwa vibaya katika mapambano ya juzi yaliyoendeshwa na serikali ya Congo juzi, na baada ya kujeruhiwa akakimbizwa Uganda, Kampala kwa ajili ya matibabu ambako amefia huko.Ushindi unakaribia.Bravo kwa wapenda amani wote.
Huyo Betrand sio lolote, makenga ndio kila kitu. Ni kawaida ya hawa watutsi kumtanguliza kiongozi wa kibantu kama boya.Col Sultani Makenga (centre with stick) with rebel soldiers at Bunagana, a town near the Ugandan border, on July 8.![]()
![]()
M23 military chief Sultani Makenga, right
N.B:
Kwanza: Hii habari kwamba huyu jamaa kafa nahisi ni ya kizushi - si ya kweli .. maana mara nyingi huwa anazushiwa kafa lakini huibuka baadae akiwa mzima
Pili: Hata kama huyu jamaa atakuwa amekufa bado si solution maana yeye ni kiongozi upande wa jeshi lakini si kiongozi mkuu. Kiongozi wa sasa hivi anaitwa Betrand Bisimwa.
.
![]()
![]()
President of the M23 rebel movement, Bertrand Bisimwa
![]()
New president of the M23 rebel movement, Bertrand Bisimwa (in orange tie) shakes hands with M23 military commander Sultani Makenga