Mkuu wa M 23 Colonel Sultan Makenga is Dead

Mkuu wa M 23 Colonel Sultan Makenga is Dead

Status
Not open for further replies.
nilishtuka udhalilishaji unaofanywa na majeshi ya serikali congo,that was terrible inhuman torture
we are praying for our majeshi yalabi yasiwakute ya darfur
 
Maadam wapiganaji wa kweli wameshaingia huko hata Kagame mwenyewe ajiandae. lazima tumalize uchafu wote ili THE EAST AFRICA iwe halisi.
 
Habari nilizozipata sasa hv ni kwamba Mkuu wa M 23 alijeruhiwa vibaya katika mapambano ya juzi yaliyoendeshwa na serikali ya Congo juzi, na baada ya kujeruhiwa akakimbizwa Uganda, Kampala kwa ajili ya matibabu ambako amefia huko.Ushindi unakaribia.Bravo kwa wapenda amani wote.
Sultani Makenga is the military chief[SUP][1][/SUP] of March 23 Movement, a rebel military group based in eastern areas of the Democratic Republic of the Congo. Sanctions have been ordered against him by the United Nations Security Council in November 2012.[SUP][2][/SUP] He has denied accusations that the M23 rebellion is backed by Rwanda.[SUP][2][/SUP] His faction of the M23 have clashed with those loyal to its political leader, Jean-Marie Runiga Lugerero.[SUP][1][/SUP] In May 2013, the M23 rebels clashed with FARDC (Armed Forces of the DRC) and there were rumors that Makenga got badly wounded. Other rumors are that Makenga died, being the reason for his not showing up in public.Source:From Wikipedia, the free encyclopedia
 
Wa Tz ni watu waajabu sana! Si mlisema wanajeshi wa tz hawaendi kupigana bali kulinda amani!
sheria za darful tofauti na drc,darful hawaruhusiwi kushambulia wakati drc wanaruhusiwa kushambulia na mdiyo ilivyopitishwa na baraza la usalama la un
 
Mnachonishangaza Watanzania ni pale mnapochanganya mambo Kule Daful Baada ya kuuawa wale wanajeshi wetu mlisema wanajeshi wanaolinda amani huwa hawaruhusiwi kuwa na Siraha sasa leo mnashabikia kuwa JWTZ ndo waliofanya juhudi hadi kuuawa huyo kiongozi wa M23 je walitumia fimbo, mawe au virungu? maana walinda amani hawatakiwi kuwa na Siraha.
Heshima yako mkuu, kuna tofauti baina ya "KULINDA" na "Ku-ENFORCE":* Kulinda ni kama kuratibu tu myenedo ya majeshi ya Serikali na waasi na kuwapa ushauri inapobidi hili waendelee na mazungumzo badala ya kupigana, unapolinda unakuwa na silaha nyepezi za kijilinda mwenyewe hujihusishi na vita vya wenyewe kwa wenyewe. Hiyo ndio ilikuwa shughuli ya wanajeshi wetu huko Darfur i.e walikuwa wanalinda amani sio ku-enforce amani. *Ku-ENFORCE hapo unaruhusiwa kutumia nguvu katika kuhakikisha amani inakuwepo, ikichokozwa unapigana kabisa na silaha nzito - mkuu hii ndiyo inafanyika huko DRC i.e majeshi yetu yanashirikiana na ya UN kutekeleza hilo, kwa hiyo husishangae ukisikia majeshi yetu yanapagana huko DRC inapo bidi tofauti na Darfur.
 
Mkuu utambulisho wa tarehe halisi picha ilipopigwa hauwezi kuujua kwa kuangalia tu hiyo picha. Mara nyingi inavyotumika duniani ukitaka kuonyesha a picture or video taken currently inatakiwa mtu aliomo awe ameshika gazeti la siku ya karibuni -la siku hiyohiyo ,jana yake au juzi yake-likionyesha waziwazi tarehe na habari zilizoandikwa. Hii ilitumika kuonyesha Fidel Castro,Osama Carlos nk walipokuwa wamezushiwa hapo mwanzoni kwamba wamekufa. Huyu mtu hajaonekana kwa muda mrefu sasa hadharani. Shughuri zake nyingi wanafanya wasaidizi wake kitu ambacho si cha kawaida Hakuna uhakika sana wa habari hii lakini pia inaweza kuwa kweli basing on facts i've mentioned above.

mt.jpg

Col Sultani Makenga (centre with stick) with rebel soldiers at Bunagana, a town near the Ugandan border, on July 8. Picture: File
 
Sawa.lakini tendo la kwanza walilofanya Walinda Amani ni kumuarrest mwanajeshi mmoja wa Jeshi la Kongo aliyetuhumiwa kudhalilisha maiti za M23.
 
Msikilize Sultan Makange akihutubia vikosi vyake vya lugha ya Kiswahili sanifu na uzalendo wa juu huku akisisitiza nidhamu ya hali ya juu kwa askari wake ili wananchi waone jinsi walivyo tofauti kinidhamu na uzalendo tofauti na askari wa serikali ya DRC Congo Kinshasa.
 
Last edited by a moderator:
Tokea nione zile maiti za M23 zikinajisiwa nimelidharau jeshi la serikali ya congo, ni jeshi lisilo na nidhamu, kwanza lina shutuma za kubaka wanawake, M23 imejibu hao hawayokipiza kisasi kwa mateka bali wata wa treat vizuri tu, I support M23, Kabila ni fisadi tu, serikali yake inanuka rushwa
 
Jeshi linalopigana DRC ni la serikali likisaidiwa na jeshi la UN. Tanzania kama nchi hatupigani na nchi wala kikundi chochote DRC ila tumechangia wanajeshi kwenye jeshi la UN.
 
Naona sasa majibu ameanza kuyapata. Na huyo aliyesema 'I will hit you' majibu yake yako 'posta'.[/QUOTE said:
Alimualika kwenda kwenye Africa Development Summit jamaa akachomoa naona ndo alikua ameplan kum-hit kama alivyoahidi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom