mokala1989
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 2,236
- 730
badae tutasiki,maafande 7 wa tz wako rip. Revenge is on its way.
endelea kuota, mipango ni fagio la chuma mpaka kigali.
badae tutasiki,maafande 7 wa tz wako rip. Revenge is on its way.
boss wa kisiasa wa m23 bertrand bisimwa alimwandikia jk barua ya kumtisha, eti;
...we have consistently prevailed over much larger and better equipped forces. The same will happen to the intervention brigade if your [jk] wisdom does not prevail to intervene and stop this dangerous adventure in its tracks. For this reason the m23 invites the parliament and the people of tanzania to carefully reconsider this situation and prevail upon the tanzanian government not to send the sons and daughters of this noble nation to engage in an absurd war against their congolese brothers.
naona sasa majibu ameanza kuyapata. Na huyo aliyesema 'i will hit you' majibu yake yako 'posta'.
Kagame nadhan anausoma Mchezo wa JWTZ, M23 lazma waombe POO, kimya cha Tanzania hakimaanishi Uoga au Unyonge bali ni busara na Subira tulizojaaliwa na Mola wetu, Mama Joyce Banda kama kachoka kiti chake nae asogeze Mgambo wake mpakani! Ukitaka kujua shughuli ya Jwtz muulize Mreno wakati wa Mapambano ya Frelimo Msumbiji!
rip kanali
mkuu mbona enzi za frelimo ni zamani sana , huo mfano wako ni halali kweli kwenye ulimwengu huu wenye silaha za kisasa ?
hata kama amekufa kwani hayo mapigano askari wetu wanahusika? Au ndoyale majanga afiwe mwingine pole na michango uchukue wewe? Ama kweli watanzania
ishu ya DRC sio ulinzi wa amani....ni offensiveMnachonishangaza Watanzania ni pale mnapochanganya mambo Kule Daful Baada ya kuuawa wale wanajeshi wetu mlisema wanajeshi wanaolinda amani huwa hawaruhusiwi kuwa na Siraha sasa leo mnashabikia kuwa JWTZ ndo waliofanya juhudi hadi kuuawa huyo kiongozi wa M23 je walitumia fimbo, mawe au virungu? maana walinda amani hawatakiwi kuwa na Siraha.
col sultani makenga (centre with stick) with rebel soldiers at bunagana, a town near the ugandan border, on july 8.![]()
![]()
m23 military chief sultani makenga, right
n.b:
Hii habari kwamba huyu jamaa kafa nahisi ni ya kizushi - si ya kweli .. Maana mara nyingi huwa anazushiwa kafa lakini huibuka baadae akiwa mzima
.
tatizo lako unataka mfano wa siku za karibuni? Kibaraka wa bosi wako kagame tumeshamrestisha in peace, bado kagame tunamlia timing.
Mpe japo mfano wa 2008 visiwa vya Comorotatizo lako unataka mfano wa siku za karibuni? Kibaraka wa bosi wako kagame tumeshamrestisha in peace, bado kagame tunamlia timing.
hana mrithi kweli?
Habari nilizozipata sasa hv ni kwamba Mkuu wa M 23 alijeruhiwa vibaya katika mapambano ya juzi yaliyoendeshwa na serikali ya Congo juzi, na baada ya kujeruhiwa akakimbizwa Uganda, Kampala kwa ajili ya matibabu ambako amefia huko.Ushindi unakaribia.Bravo kwa wapenda amani wote.
Mnachonishangaza Watanzania ni pale mnapochanganya mambo Kule Daful Baada ya kuuawa wale wanajeshi wetu mlisema wanajeshi wanaolinda amani huwa hawaruhusiwi kuwa na Siraha sasa leo mnashabikia kuwa JWTZ ndo waliofanya juhudi hadi kuuawa huyo kiongozi wa M23 je walitumia fimbo, mawe au virungu? maana walinda amani hawatakiwi kuwa na Siraha.
Wa Tz ni watu waajabu sana! Si mlisema wanajeshi wa tz hawaendi kupigana bali kulinda amani!
Mnachonishangaza Watanzania ni pale mnapochanganya mambo Kule Daful Baada ya kuuawa wale wanajeshi wetu mlisema wanajeshi wanaolinda amani huwa hawaruhusiwi kuwa na Siraha sasa leo mnashabikia kuwa JWTZ ndo waliofanya juhudi hadi kuuawa huyo kiongozi wa M23 je walitumia fimbo, mawe au virungu? maana walinda amani hawatakiwi kuwa na Siraha.
wana jf huyu makenga kazushiwa kifo mara nyingi sana, tusiihamini hii taarifa kiuraisi namna hii, tuvute subila, ila mimi nina waunga mkono m23, hivi mnajua m23 wanachokipinga?