Aheri iongozwe kidikteta kuliko iongozwe na wasaliti,
Usaliti ni moja ya dhambi isiyosameheka hata mbele za Jah
Hizi akili za misuba! chama kinajiita cha demokrasia na maendeleo wewe unahubiri udikteta; tangu lini kusema ukweli kukawa usaliti? Mkuu Ritz msome mgombea udiwani mtarajiwa! kama akili zenyewe ndio kweli hayo maendeleo yanayohubiriwa yatakuwepo kweli? Yaani kauli yako ni ya kinafiki inaonekana jah unayemtumikia siye yule aliyeamuamini Bob Marley!
Last edited by a moderator: